Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,257
- 105,375
Haya basi...'mtu mzima huwezi kwenda kula ugali wako na dagaa Kempinski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini..' Hio imekaaje mkuu?
Aliyepigwa ni mwanamke na yeye mwenyewe(aliyepigwa) kaweka msisitizo kwenye hilo.Kasema jinsi bra yake ilivyovutwa,matiti yake yalivyokuwa exposed,please tell me if that was a man he would use the same description.
Kupigwa au kudhalilishwa kunatofautiana baina kitendo hicho kufanyiwa mwanamke au mwanaume...hata approach ya mpigaji mwenyewe inakuwa tofauti.Mwanaume utasikia 'walishikana mashati'.Sasa kama hio inasema wanawake ni weak,sijui...lakini i'm sure hata kwako kama kitu kinahitaji nguvu,lazima ataitwa baba,sijui...
Kupigwa mtu katika bar uswahilini ni sawa au si sawa?