Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

huyu mange ndio alikuwa na blog ambayo alikuwa anatukanana na teekay kipindi flani wachangiaji wakawatukana sana kina magai,bashir,kinje,mlatie na kundi lao wote kwenye huo mjadala..mange ndio aliruhusu ule ujinga,na nadhani hata utamu ilipata idea ya kudhalilisha watu hapa..nilikuwa nashangaa siku zote hizi sikuwa nimeziona hasira za hawa jamaa over her!
nimeshangaa alivyojiita msichana wa kiislamu ambaye bado hajaolewa,as if anajiheshimu kweli!..tutaona itavyoishia hii
 
The Tanganyika Law Society should consider disbarring its members if such grave allegations are proved.
 
Kuna kundi la watu ambalo linajifanya ni untouchables.Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini,ambapo kila mu atawahi kusema kuwa mwanamke yule ni malaya tu! Kwa kweli huu utakuwa probably ni mwanzo wa kusikia kesi nyingi kama hizi.

Power corrupts absolutely.

Best wako TZ akiwa Waziri wa Mambo ya Chumbani unajiona unamiliki kila kitu mpaka hoteli za watu.

Best akiwa Raisi ndio kabisaa, unapiga watu na risasi bila kufanywa lolote mpaka Mwenyezi Mungu aingilie kati.
 
Sasa angalia unavhojichanganya yakhe... soma uelewe sio jump! jump! za kris kross aisee... that's my point!!!!!!!! uandishi uchwara ndani ya gazeti la serikali "DAILY NEWS"... hayo yangeandikwa na shigongo bana

hoja yangu ilihusu gazeti la serikali kupamba ishu za wapuuzi wawili badala ya other developmental issues... sijui tunaelekea wapi

Isingekuwa habari ya maana wala tusingekuwa tunaijadili hapa JF sasa hivi. Sikumbuki kuona habari za kwenye magazeti ya Shigongo zikipewa uzito kwenye mjadala wowote hata JF!
 
Zanaki ina maana unahalalisha kufanya mambo kama haya kwenye bar za uswahilini?

... kumpiga mtu ni kibaya, whether Kempinski au uswahilini, sasa haya mambo ya kusema "Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski...

Haha haaaaaa

Kiranga, sijui kama Zanaki amekuelewa?

Kwamba, anavyoona yeye, ukitaka kumpiga mtu kampigie kwenye bar Uswahilini, sio Kempiski!

I hope amekuelewa.
 
Hii habari, kama ni kweli, inasikitisha sana. Japo imekaa kidaku na kihohehahe.

Hivi huyu mwanamke mfanyabiashara ambae DAILY NEWS wamemwita "muslim girl" ana umri gani huyu?

Gazeti linasema "the advocates went to their table." The "advocates," yupi hapo katajwa zaidi ya huyo Magai?

DAILY NEWS wanasema Ms. Kinambi kadai "damages of 1,575,000/- and $24,120 and general damages of 135m/-" Mwandishi kwanza kakoroga dola na shillingi, halafu kachanganya format ya kuandika namba zote (...,000) na kutumia kifupi (135m), halafu kajaribu ku break down the damages akatofautisha 1,575,000/ na $24.120 bila kusema amezitenga kwa nini. Maana zote ni damages! Isitoshe, damages na general damages kwa hapo tofauti yake sijui ni nini walahi. Yani vitu vimekaa kama vimeandikwa kijinga kijinga hivi. Amedai damages na general damages!

News story iko based on "alleged." Lakini hawasemi alleged na nani. Ukisoma gazeti lenye hadhi duniani utakuta, kama wanaelezea kisa kama hiki kilichoenda mahakamani, watasema whether imekuwa alleged kwenye court papers au kama ni eye witness, ama mwandishi mwenyewe kachunguza evidence fulani and so forth. Hawa hawajasema imekuwa alleged wapi, kwenye stendi ya magari ya Posta-Baharini?

Na huyo eye witness wao nae atakuwa ali miss the action vile vile. Wanasema huyu lawyer alikutana na kina mama kwenye meza, hapakuwa na tukio, wakatengana, ikaja baadae lawyer akaibuka ukumbi wa densi kuanza kumpiga mtu kwa dakika nne, huku ana shout kumlazimisha aondoke hapo "for no apparent reason." Well, ina maana kati ya kukutana mezani na pale kwenye kipigo jamaa alirukwa akili, no words were exchanged in the interim, nothing. Salaam, kipigo! Halafu wakati wa kipigo cha dakika nne ina maana lawyer alikuwa anarudia neno hilo hilo ondoka ondoka! Well, wamesema alikuwa akitukana. Alikuwa anamwambiaje na hayo matusi? We mwongo? Unanifukuzia ndege? Malaya? What? Hakutoa clue? Talking about "for no apparent reason," no no no, huyu shahidi wa DAILY NEWS aliona malue lue kwa sababu s/he missed the action!

Mwandishi anasema wakati wa kipigo kulikuwa na hawa marafiki wa Ms. Kinambi wanasihi asiendelee kumpiga, dakika 4. Halafu wakaja wasamaria wema "wakaingilia kwa kumsihi asimuumize ." Yani walichofanya wasamaria wema "walioingilia" na walichofanya wale ambao hawakuingilia ni kile kile, kumsihi asiendelee kumpiga! Tunaongelea the DAILY NEWS, historically, the paper of record la Tanzania.

Hadithi ya Daily News imekaa kijinga kijinga hivi.

wewe unachoonaga ni waandishi wa habari.......tena leo umemkomalia mwandishi wa kike.......anyway
akasema.....
The plaintiff said later, Magai started shouting loudly at her ’’for no apparent reason’’, insisting that she leave the room.
akaendelea kusmea kuwa
When she did not heed to the demand, he is said to have then decided to attack her, calling her insulting names, grabbing her blouse and forcefully pulling the plaintiff back and forth.
This, according to Ms Kimambi, caused one of her breasts to pop out of her bra and become fully exposed, also causing her to suffer great pain from a big scar on her breast resulting from a previous operation she had
nasikia alifanya sahale ya matiti yawe namna vile magai kayaharibu sio ajabu aka claim mihela yote hiyo......malizia story ThisDay
 
Picha ya jangiri Magae mi ya nini bana wewe.....mi nataka kumwona mdoli Mange....

Yo Yo hebu fanya mavitu yako bana....
acha zako ina maana hupitii kule siku hizi?....hata facebook yake huja mu add?
 
Hata kama walikuwa lovers, he was supposed to respect her and to solve this issue quietly,The way he humiliated her,he must be have a lot to answer about it. Respect is a personal character which can either make u being respected by the society or being dis valued too. Watch out!!
 
wewe unachoonaga ni waandishi wa habari.......tena leo umemkomalia mwandishi wa kike....

Of course lazima uangalie na habari yenyewe ilivyoandikwa.

Mwandishi wa kike hatakiwi kukoselewa?

Unaandika hela unachanganya dola na shilingi? Wewe unaweza kusema unamdai mtu damages kiasi cha shilingi elfu moja mia tatu na dola moja? Sasa kwa nini umezitenga, kwa nini usiseme damages unazodai ni shillingi elfu mbili mia sita (shillingi elfu moja mia tatu jumlisha dola moja), au sema dola mbili, kieleweke kwa kifupi. Unasema advocates walikuwa kwenye meza yao wakati stori nzima ina advocate mmoja. Unasema "wasamaria wema waliingilia" kwa kumsihi asimpige wakati umeshasema tayari kulikuwa kuna wenzake wako pale wanafanya kitu hicho hicho, kumsihi asimpige. Wasamaria "waliingilia" kufanya nini cha zaidi?

Kuna mtu atabisha kwamba habari ya DAILY NEWS imeandikwa kihohehahe hohehahe, kijinga kijinga?
 
Of course lazima uangalie na habari yenyewe ilivyoandikwa.

Mwandishi wa kike hatakiwi kukoselewa?

Unaandika hela unachanganya dola na shilingi? Wewe unaweza kusema unamdai mtu damages kiasi cha shilingi elfu moja mia tatu na dola moja? Sasa kwa nini umezitenga, kwa nini usiseme damages unazodai ni shillingi elfu mbili mia sita (shillingi elfu moja mia tatu jumlisha dola moja), au sema dola mbili, kieleweke kwa kifupi. Unasema advocates walikuwa kwenye meza yao wakati stori nzima ina advocate mmoja. Unasema "wasamaria wema waliingilia" kwa kumsihi asimpige wakati umeshasema tayari kulikuwa kuna wenzake wako pale wanafanya kitu hicho hicho, kumsihi asimpige. Wasamaria "waliingilia" kufanya nini cha zaidi?

Kuna mtu atabisha kwamba habari ya DAILY NEWS imeandikwa kihohehahe hohehahe, kijinga kijinga?
Conclusion yako ni nini?
 
Nimesema habari imekaa kihohehahe hohehahe, kijinga kijinga.

Huwezi kuchanganya dola na shilingi. Huwezi kuongelea "mawakili" wakati taarifa nzima ina wakili mmoja. Huwezi kusema wasamaria wema walikuja kuingilia wakati walichofanya ni kile kile ambacho wenzake walikuwa wanafanya, kumsihi asimpige. Uandishi wa kihohehae na kijinga kijinga.
 
Mnaotaka picha ya Mange, nendeni kwenye archive ya zeutamu mtakuta picha zake nyingi tu! Na haya ya Mange na Magai yalishasemwa sana kule!!!

Zeutamu Archive ndiyo nini?

Zadock Magai alipokuwa mwanafunzi chuo kikuu alikuwa kama vile ana social problems fulani za kutokujiamini au kudhani hathaminiwi na wenzake. Nadhani baada ya kufanikiwa financially huenda akawa ana tatizo la kutaka watu wamjue na kumheshimu zaidi ya anavyojulikana na kuheshimiwa.

Kulingana na stori yenyewe, inaonekana kama vile hapa hawa wamegongana kingono, na huyu mama anataka kumkomoa bwana Magai; ugomvi wa dakika nne tu hauwezi kusababisha damages za kiasi hicho anachodai. Inawezekana mama aliachwa kinyemela, badala yake akaona rafiki yake ndiye anachukuliwa, hivyo akapandwa na ghadhabu za wivu.
 
This is one interesting civil litigation one need to watch and enjoy the game. MANGE vs MAGAI. Wowwwwwww

omarilyas
 
Naomba niulize maswali machache sana maana hawa 'vijana' waliopigana/kupigwa wana umri gani? I need to understand the context kwa kweli.

Huyu Magae ni mume wa mtu au ni msela?

Because I just do not get it. This day and age? Inawezekana ni mambo katika rika fulani maana mzee mzima nimeshindwa
 
Samahani wakuu,

nime-search na kupata taarifa zake hizi hapa. He is from Bunda! There is no surprise there. now I get it. Mwee!!



Sadock Dotto Magai
Finance Partner & Head of Corporate Matters

Admitted to the Bar, 1994.

Practise Areas:

Banking; Corporate Finance; Securities; Corporate Law; Litigation.
Brief biography:

Born in Bunda , Tanzania , May 25, 1962.

Education: University of Dar Es Salaam (LL.B., Hons., 1989); Strathclyde University (Post Graduate Diploma in Finance, 1998).

Work experience : Chief Legal Examiner, Tanzania Institute of Bankers, 1997-. State Attorney, 1989-1990. Legal Counsel, Bank of Tanzania , 1990-1997.

Member: Tanganyika Law Society, East African Law Society.

Languages: English and Swahili.


WHAT A SHAME!

 
Last edited:
Samahani wakuu,

nime-search na kupata taarifa zake hizi hapa. He is from Bunda! There is no surprise there. now I get it. Mwee!!



Sadock Dotto Magai
Finance Partner & Head of Corporate Matters

Admitted to the Bar, 1994.

Practise Areas:

Banking; Corporate Finance; Securities; Corporate Law; Litigation.
Brief biography:

Born in Bunda , Tanzania , May 25, 1962.

Education: University of Dar Es Salaam (LL.B., Hons., 1989); Strathclyde University (Post Graduate Diploma in Finance, 1998).

Work experience : Chief Legal Examiner, Tanzania Institute of Bankers, 1997-. State Attorney, 1989-1990. Legal Counsel, Bank of Tanzania , 1990-1997.

Member: Tanganyika Law Society, East African Law Society.

Languages: English and Swahili.


WHAT A SHAME!


umeuliza, mara gafla ukajijibu... you are truly a character!!! BTW ule utetezi wako kwa masha ulikusaidia?
 
Samahani wakuu,
nime-search na kupata taarifa zake hizi hapa. He is from Bunda! There is no surprise there. now I get it. Mwee!!

Bimkubwa my friend.....what does him coming from Bunda have to do with anything? Stereotypes?
 
Haha haaaaaa

Kiranga, sijui kama Zanaki amekuelewa?

Kwamba, anavyoona yeye, ukitaka kumpiga mtu kampigie kwenye bar Uswahilini, sio Kempiski!

I hope amekuelewa.

Is that what he meant?... wewe labda ndio haukunielewa mimi.

Mara ngapi tunasikia mtu anaambiwa tena na mwnamke 'unalalamika/unalia/unaendesha gari kama mwanamke...' do they mean it literaly?

Labda hamjawahi kupita uswahilini,hayo mambo huko hutokea kila siku,wengine tunakaa huko,na huo ndio mfano wangu,sio kwamba nashabikia kitendo cha mwanamke kupigwa.
 
Zanaki ina maana unahalalisha kufanya mambo kama haya kwenye bar za uswahilini?

Kilichofanyika (kama indeed kimefanyika) kumpiga mtu ni kibaya, whether Kempinski au uswahilini, sasa haya mambo ya kusema "Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini" yanatoa picha kwamba kufanya mambo kama haya kwenye bar za uswahilini ni sawa.
Halafu hii angle ya "kumpiga mwanamke" nayo ni patronizing kama siyo condescending. Kibaya pale ni kwamba kapigwa mtu (if indeed mtu kapigwa).Somehow kuna macho philosophy inayosema kuwa kumpiga mwanamke ni vibaya sana kuliko kumpiga mwanamme, hii inaweza kuletwa kama a feminist angle but true a feminist angle should realize huku ni kuwa-patronize na ku-condescend wanawake kwamba wao ni viumbe dhaifu.

Kupiga mtu ni kitu kibaya, full stop.

Haya basi...'mtu mzima huwezi kwenda kula ugali wako na dagaa Kempinski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini..' Hio imekaaje mkuu?

Aliyepigwa ni mwanamke na yeye mwenyewe(aliyepigwa) kaweka msisitizo kwenye hilo.Kasema jinsi bra yake ilivyovutwa,matiti yake yalivyokuwa exposed,please tell me if that was a man he would use the same description.

Kupigwa au kudhalilishwa kunatofautiana baina kitendo hicho kufanyiwa mwanamke au mwanaume...hata approach ya mpigaji mwenyewe inakuwa tofauti.Mwanaume utasikia 'walishikana mashati'.Sasa kama hio inasema wanawake ni weak,sijui...lakini i'm sure hata kwako kama kitu kinahitaji nguvu,lazima ataitwa baba,sijui...
 
Back
Top Bottom