Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

Top lawyer faces assault civil suit at High Court

BETH MWALUSAKO
Dar es Salaam

A PROMINENT Dar es Salaam lawyer has found himself dragged to court as defendant in a civil suit where the plaintiff is demanding over 150m/- in damages for alleged assault in a public place.

The plaintiff in the case is one Ms Mange Kimambi, and the defendant is none other than Sadock Dotto Magai of the leading private law firm Ishengoma, Masha, Mujulizi and Magai (IMMMA) Advocates.

Through her own lawyers Tenga and Partners Advocates, Ms Kimambi yesterday filed a suit at the High Court in the city, demanding payment by Magai of specific damages of 1,575,000/- and $24,120, plus general damages of 135m/-, plus costs of the suit and any other relief the court may grant.

The damages claim arises from an allegation of ’tortuous act of assault’ by Magai during an evening function at the Kilimanjaro Kempinski Hotel in the city last Sunday (March 15), which is alleged to have caused her ’’humiliation, injury, embarrassment, loss of dignity, and property.’’

According to the plaint, on the day of the incident she was attending a party at the hotel, sharing a table with some friends.

It was during the party that Magai, whom she said she had known for some years, is alleged to have approached their table and began causing a fracas of sorts.

The plaintiff said later, Magai started shouting loudly at her ’’for no apparent reason’’, insisting that she leave the room.

When she did not heed to the demand, he is said to have then decided to attack her, calling her insulting names, grabbing her blouse and forcefully pulling the plaintiff back and forth.

This, according to Ms Kimambi, caused one of her breasts to pop out of her bra and become fully exposed, also causing her to suffer great pain from a big scar on her breast resulting from a previous operation she had.

The fracas is said to have lasted for about four minutes, until one of the plaintiff’s friends and some other eyewitnesses apparently pleaded with the defendant to let her go, which he is said to have done with a forcible final push.

According to the plaint, the incident caused Ms Kimambi to suffer a lot of damages caused directly by the advocate by injuring her in person and her reputation, humiliating her, injuring her feelings and causing her to be ridicule by her colleagues and her prospective business clients.

She thus claims that she should be paid $7,000 as costs of redoing the operation on the injured breast at a hospital in Dubai; $1,600 as costs for Dar-Dubai-Dar return air tickets for her and her attendant; $700 for costs of staying in hospital for at least one week; and $7,000 for two weeks’ stay at a hotel for her and three weeks for her attendant.

She also claims payment of another 150,000/- being costs for lost jewelery; $7,000 and 75,000/-being cash money that she was carrying in her handbag; and another $ 820 for a mobile iphone 3G she also claims to have lost that night.

She is furthermore demanding payment of general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl, plus loss of reputation for her business; damages of humiliation, physical pain, injury of feelings, ridicule and loss of business.

The case is now awaiting the fixing of a mention date as well as the assignment of a High Court judge to preside over it.

source: This Day
 
Samahani, mi siwajui vizuri hawa wahusika ila nasema ya kuwa hata kama mwanamke ni nani lakini mwanaume huwezi kumpiga mwanamke, hiyo ni stone age mentality na inatia aibu sana tena kwa mtu aliyesoma. Tena kumpiga hadharani ndo aibu kubwa zaidi. Awe amelewa au la, this advocate kaleta aibu kwa familia yake, kampuni yake na jamii inayomzunguka!
 
Wakubwa, JF ina heshima sana na kabla ya kurusha sentensi tujaribu kujitenganisha na hulka ya zeutamu;

Ninajua kuna wanaJF walikuwepo pale siku ile na walishuhudia vurugu iliyotokea, hapakuwa na shambulio la kudhuru (tuache ushabiki kidogo tu ili kuwa reasonable)

The history na mange ze utamu, magai and several people in dar iko wazi sana

wazo langu - lets get facts right ili tubehave kama great thinkers,

nina uhakika comments nyingi za hapo juu ni za kishabiki au hisia... what if there is another case ya defamation iko kwenye pipeline with heavier evidence?

They say "two can play that game" and watch this space = the two have started that game - knuk knuk!!!!!!

Heshima yako mkuu.

LAkini nafikiri sie tunareact to the habari iliyoangikwa na Daily News kama kuna habari iliyofichika nyma ya pazia sidhani kama inatuzuia sie kucomment au sijakuelewa vizuri Mkuu?
 
Heshima yako mkuu.

LAkini nafikiri sie tunareact to the habari iliyoangikwa na Daily News kama kuna habari iliyofichika nyma ya pazia sidhani kama inatuzuia sie kucomment au sijakuelewa vizuri Mkuu?

Nakubali mzee, sote tuna uhuru wa expression... ila nilijaribu tu kuhabrisha kwasababu najua sometimes media hype imetufanya tu-dilute very good discussions.

Ni hivi... ile ze utamu pandoras box inafunguka slooowwwwllly!!! and for sure there was no assault trust me. kama kuna mtu ana-access na kempinski atafute njia apate cctv records, they are already in police hands na investigations ziko mbali zaidi ya gazeti

its sad that one part is vocal on this and the other has been silent
 
hii kesi zaidi ni kuumbuana tu...regardless of who wins in the end lakini reputations have been damaged already.
 
hii kesi zaidi ni kuumbuana tu...regardless of who wins in the end lakini reputations have been damaged already.

Kila mtu ana uhuru wa kuishi apendavyo, lakini hao akina Magai basi nao waheshimu ndoa zao jamani! Kila siku na vicheche mitaaani, matokeo yake ndiyo hayo sasa. You end up tarnishing your reputation in public.

Na hii kesi ingekuwa ni ya jinai nadhani Magai asingeruhusiwa kufanya kazi kama wakili mpaka kesi itapomaliza kusikilizwa (naomba kusahihishwa hapa kama nimekosea).
 
Jamani kwa wanaomjua Magai is a player anavicheche wengi mno, Mange naye ni mdondo kamwangukia kazi anayo!
 
Ah kwani Mkubwa we Magai wamjua? Mbona umeomba picha ya Mange pekee?

Mi naomba za wote wawili, ikiwezekana nipatiwe zile za tukio zinazoonyesha wakivutana na kusukumana.

Mnaotaka picha ya Mange, nendeni kwenye archive ya zeutamu mtakuta picha zake nyingi tu! Na haya ya Mange na Magai yalishasemwa sana kule!!!
 
Ah kwani Mkubwa we Magai wamjua? Mbona umeomba picha ya Mange pekee?

Mi naomba za wote wawili, ikiwezekana nipatiwe zile za tukio zinazoonyesha wakivutana na kusukumana.

Picha ya jangiri Magae mi ya nini bana wewe.....mi nataka kumwona mdoli Mange....

Yo Yo hebu fanya mavitu yako bana....
 
Kila mtu ana uhuru wa kuishi apendavyo, lakini hao akina Magai basi nao waheshimu ndoa zao jamani! Kila siku na vicheche mitaaani, matokeo yake ndiyo hayo sasa. You end up tarnishing your reputation in public.

Na hii kesi ingekuwa ni ya jinai nadhani Magai asingeruhusiwa kufanya kazi kama wakili mpaka kesi itapomaliza kusikilizwa (naomba kusahihishwa hapa kama nimekosea).

Mkuu nakubaliana na wewe mia kwa mia, the reputation is gone and his professionalism challenged... sometimes emotions zetu zinatuangusha hasa tukishakunywa vibia vichache au tukisahau utawala wa sheria ni kwa kila mtu

Its a game of the two dirty players exercising the skills before the public

very sad that even our government newspaper wanaipa front page na kuacha issues muhimu za taifa

Anyway... Cest La Vie
 
Huyu Vigae naye bana....ndio matatizo ya ku dela na mademu wa hovyo hovyo wasio na class. She probably pushed all his buttons....
 
Huyu Vigae naye bana....ndio matatizo ya ku dela na mademu wa hovyo hovyo wasio na class. She probably pushed all his buttons....

... and took the b@11s out of the advocate "ma-tiles"... cant wait for the drama to unfold... Ama kawengaaaaaaaaaaa
 
Mkuu nakubaliana na wewe mia kwa mia, the reputation is gone and his professionalism challenged... sometimes emotions zetu zinatuangusha hasa tukishakunywa vibia vichache au tukisahau utawala wa sheria ni kwa kila mtu

Its a game of the two dirty players exercising the skills before the public

very sad that even our government newspaper wanaipa front page na kuacha issues muhimu za taifa

Anyway... Cest La Vie

Nani kakudanganya kwamba wameiweka tu front page hivi hivi? Hii case ina mambo mengi ndani yake ikiwemo kuchafuana na kuumbuana! Inawezekana kabisa aliyepeleka hiyo habari "aliwezeshwa" ili ahakikishe imeandikwa kwenye ukurasa wa mbele kabisa!
 
Huyo Mange ni mtoto wa mjini vilevile kwa wale wanaosema sio...ni mtoto wa marehemu Kimambi(kwa wale wanaomjua).

Hii ni circle ileile,na watu ni walewale,haya ni machache tu ya jinsi wasichana wanavyokuwa abused na hao wanaojiona wana fedha.
Magai,hii sio mara ya kwanza,maybe mara ya kwanza in that week,huwa anatukana sana wasichana ambao kishalala nao.This time naona kakutana na mtu aliyemsimamia.

Kuna kundi la watu ambalo linajifanya ni untouchables.Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini,ambapo kila mu atawahi kusema kuwa mwanamke yule ni malaya tu! Kwa kweli huu utakuwa probably ni mwanzo wa kusikia kesi nyingi kama hizi.
 
Zanaki ina maana unahalalisha kufanya mambo kama haya kwenye bar za uswahilini?

Kilichofanyika (kama indeed kimefanyika) kumpiga mtu ni kibaya, whether Kempinski au uswahilini, sasa haya mambo ya kusema "Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini" yanatoa picha kwamba kufanya mambo kama haya kwenye bar za uswahilini ni sawa.

Halafu hii angle ya "kumpiga mwanamke" nayo ni patronizing kama siyo condescending. Kibaya pale ni kwamba kapigwa mtu (if indeed mtu kapigwa).Somehow kuna macho philosophy inayosema kuwa kumpiga mwanamke ni vibaya sana kuliko kumpiga mwanamme, hii inaweza kuletwa kama a feminist angle but true a feminist angle should realize huku ni kuwa-patronize na ku-condescend wanawake kwamba wao ni viumbe dhaifu.

Kupiga mtu ni kitu kibaya, full stop.
 
Nani kakudanganya kwamba wameiweka tu front page hivi hivi? Hii case ina mambo mengi ndani yake ikiwemo kuchafuana na kuumbuana! Inawezekana kabisa aliyepeleka hiyo habari "aliwezeshwa" ili ahakikishe imeandikwa kwenye ukurasa wa mbele kabisa!

Sasa angalia unavhojichanganya yakhe... soma uelewe sio jump! jump! za kris kross aisee... that's my point!!!!!!!! uandishi uchwara ndani ya gazeti la serikali "DAILY NEWS"... hayo yangeandikwa na shigongo bana

hoja yangu ilihusu gazeti la serikali kupamba ishu za wapuuzi wawili badala ya other developmental issues... sijui tunaelekea wapi
 
BETTY BHOKE
DAILY NEWS

...It is alleged that on March 15, this year.......for costs of staying in hospital for one week and $7,000 for two weeks in hotel accommodation for her and three weeks for her attendant.

...demanding for specific damages of 1,575,000/- and $24,120 and general damages of 135m/-

...Some 20 minutes into the party room, the advocates went to their table

...The assault lasted nearly four minutes, during which Ms Kinambi's friends pleaded with the advocate not to assault her to no avail. Finally, Good Samaritans interceded, pleading with him not to hurt the woman.

... loss of reputation as an unmarried Muslim girl

Hii habari, kama ni kweli, inasikitisha sana. Japo imekaa kidaku na kihohehahe.

Hivi huyu mwanamke mfanyabiashara ambae DAILY NEWS wamemwita "muslim girl" ana umri gani huyu?

Gazeti linasema kipigo kimetokea March 15 mwaka huu. Siku tano zilizopita. Halafu victim anadai damages za matibabu ya wiki tatu! Toka lini? How? I mean, how?

Gazeti linasema "the advocates went to their table." The "advocates," yupi hapo katajwa zaidi ya huyo Magai?

DAILY NEWS wanasema Ms. Kinambi kadai "damages of 1,575,000/- and $24,120 and general damages of 135m/-" Mwandishi kwanza kakoroga dola na shillingi, halafu kachanganya format ya kuandika namba zote (...,000) na kutumia kifupi (135m), halafu kajaribu ku break down the damages akatofautisha 1,575,000/ na $24.120 bila kusema amezitenga kwa nini. Maana zote ni damages! Isitoshe, damages na general damages kwa hapo tofauti yake sijui ni nini walahi. Yani vitu vimekaa kama vimeandikwa kijinga kijinga hivi. Amedai damages na general damages!

News story iko based on "alleged." Lakini hawasemi alleged na nani. Ukisoma gazeti lenye hadhi duniani utakuta, kama wanaelezea kisa kama hiki kilichoenda mahakamani, watasema whether imekuwa alleged kwenye court papers au kama ni eye witness, ama mwandishi mwenyewe kachunguza evidence fulani and so forth. Hawa hawajasema imekuwa alleged wapi, kwenye stendi ya magari ya Posta-Baharini?

Na huyo eye witness wao nae atakuwa ali miss the action vile vile. Wanasema huyu lawyer alikutana na kina mama kwenye meza, hapakuwa na tukio, wakatengana, ikaja baadae lawyer akaibuka ukumbi wa densi kuanza kumpiga mtu kwa dakika nne, huku ana shout kumlazimisha aondoke hapo "for no apparent reason." Well, ina maana kati ya kukutana mezani na pale kwenye kipigo jamaa alirukwa akili, no words were exchanged in the interim, nothing. Salaam, kipigo! Halafu wakati wa kipigo cha dakika nne ina maana lawyer alikuwa anarudia neno hilo hilo ondoka ondoka! Well, wamesema alikuwa akitukana. Alikuwa anamwambiaje na hayo matusi? We mwongo? Unanifukuzia ndege? Malaya? What? Hakutoa clue? Talking about "for no apparent reason," no no no, huyu shahidi wa DAILY NEWS aliona malue lue kwa sababu s/he missed the action!

Mwandishi anasema wakati wa kipigo kulikuwa na hawa marafiki wa Ms. Kinambi wanasihi asiendelee kumpiga, dakika 4. Halafu wakaja wasamaria wema "wakaingilia kwa kumsihi asimuumize ." Yani walichofanya wasamaria wema "walioingilia" na walichofanya wale ambao hawakuingilia ni kile kile, kumsihi asiendelee kumpiga! Tunaongelea the DAILY NEWS, historically, the paper of record la Tanzania.

Hadithi ya Daily News imekaa kijinga kijinga hivi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom