Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

Kushtakiana ni kutafuta haki au usawa ili watu waishi kwa amani! Kwa hiyo sio kitu cha kushangaza, inaonekana hujawahi kushtakiwa au kushtaki!
 
Huyu jamaa wa Imma advocate ndo kamfukuza kazi Fatuma Karume

Dah, lakini Mange ni Kichwa, kumbe kuna mtu alishajichanganya anga zake miaka mingi iliyopita akamchomoa mpunga mnene
 
Back
Top Bottom