Advice on erecting a filling station.

mama jemima

Member
Oct 8, 2011
15
1
Habari.
Nafikiria kufungua filling station. Tafadhali kama kuna mtu ana idea on the cost ya fuel dispensers, fuel tanks anijulishe au ani-pm.
thanks
 
Ni vizuri kama bado unafikiria. Je umejipanga vizuri? Eneo lako ni zuri kwa kufanya biashara hii na zingine kwa mfano supermarket nk. Filling station nzuri inahitaji investment kubwa na margin ya mafuta ni kidogo sana. Unless unapanga kuchakachua au kuuza mafuta ya wizi. Alternative nyingine ni kuingia contract na mojawapo ya makampuni ya mafuta wakupe hizo dispensers. Inawezekana unataka kuwa independent. Dispensers ziko kibao za China, SA etc. Google tu. Cha muhimu ni aftersale service. Nani atakuwa anakutengenezea? Advantage ya contract na oil companies wanakupa technical assistance. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom