Mbonyeo ndo uliyoiomba!
Babu DC nakusalimia.
Marahaba,
Mzima wewe?? Umeshapata nanihii ya jogoo?
Kwa nini hukuomba ya bata??
Babu DC!!
Here: kamata!
Lakini ndo ulichoomba!
Asante Kaby. . . Ila mi nichukulie fanta baridiiiiiii!!
Hello Kipipi? Husikii baridi kila siku mgongo nje? Nikufunike?
dah,fanta labda kesho.hapa imeibakia banana wine tu.
Fanta gani?? Passion, orange or blackcurrent??
Orange au BC kakondoo. . . ntapata ipi?
Mmh, Vitaminin D kungekuwa na jua la asubuhi. Naona kama Mbu watakushambulia. Here take this . . .