Adui number moja wa Tanzania huyu hapa

Tatizo number moja linalotukabili watanzania ktk nchi yetu ni 'WOGA WA KUTHUBUTU". utakuta watu wanatokwa na povu jingi ktk media esp. mitandao ya kijamii na magazeti ktk kulaani au kukemea na kuonyesha msimamo wao ktk jambo flani, lakini wengi wetu tunaishia "kuenjoy" kusoma tuu mawazo yao kisha tunatupa kama story ya udaku. tungeweza kuthubutu kutenda ktk kila tunenalo tungekuwa mbali. utasika mtu flani ajiuzulu, asipojiuzulu hakuna kinachofanyika. Hii ndio imewapa hawa viongozi wetu kiburi cha kuona wao ni wao wengine vinyesi. Kama tungeungana kimatendo si kwa kumbwela I'M SURE Tz ingekuwa nchi moja nzuri but WOGA WA KUTHUBUTU umetufanya tueendelee kuwa maskini na mtaji kwa wengine. tumeshuhudia nchi za wenzetu zilivyofanya mapinduzi kwa kuhakikisha viongozi makanjanja yanatolewa hata kwa migomo ya wananchi but kwa Tz hii itakuwa ndoto za abunuasi.

Conclusion:
Ni heri tukanyamaza kuacha uovu utamalaki kuliko kulia lia kila siku wakati tukijua hata opportunity ikija huwa hatuwezi fanya chochote kujikomboa.So ninaweza sema SHAME ON US KWA KUWA NA WOGA WA KUTHUBUTU.:blah:
Ni kweli mkuu!! Hapa JF TISS wanaleta mada za kutuvuruga kila wakati. Mimi ninaamini adui mkubwa ni woga ukijengwa na afisa mtengeneza hofu TISS. aliyegeuka Afisa Uhasama baada kuona baadhi tunapata mwanga. Ameanza kutukoroga akitumia ujinga wetu na woga wetu.
Atafurahi sana kwa mfano akiona tumeanza vita vya wenyewe kwa wenyewe! HUYU TISS NI SHETANI WA TZ!!
 
Mkuu ni kweli opportunity zilizokuja zakutufanya tufanye mapinduzi ni epa,karamagi na mikataba ya madini,mgawo mkubwa wa umeme,mgomo wa madaktari,kutekwa kwa ulimboka,mgomo wa walimu.nk.

,kifo cha Mwangosi.

Mimi hadi naona tumemwangusha jaji Manento katoa ripoti nzuri lakini je nani wa kuishinikiza serikali iweze kuifanyia kazi? Kwa ripoti ile wakina Kamuhanda na Tendwa walitakiwa wamekwisha jiuzulu mapemaaaa!
 
Tatizo number moja linalotukabili watanzania ktk nchi yetu ni 'WOGA WA KUTHUBUTU". utakuta watu wanatokwa na povu jingi ktk media esp. mitandao ya kijamii na magazeti ktk kulaani au kukemea na kuonyesha msimamo wao ktk jambo flani, lakini wengi wetu tunaishia "kuenjoy" kusoma tuu mawazo yao kisha tunatupa kama story ya udaku. tungeweza kuthubutu kutenda ktk kila tunenalo tungekuwa mbali. utasika mtu flani ajiuzulu, asipojiuzulu hakuna kinachofanyika. Hii ndio imewapa hawa viongozi wetu kiburi cha kuona wao ni wao wengine vinyesi. Kama tungeungana kimatendo si kwa kumbwela I'M SURE Tz ingekuwa nchi moja nzuri but WOGA WA KUTHUBUTU umetufanya tueendelee kuwa maskini na mtaji kwa wengine. tumeshuhudia nchi za wenzetu zilivyofanya mapinduzi kwa kuhakikisha viongozi makanjanja yanatolewa hata kwa migomo ya wananchi but kwa Tz hii itakuwa ndoto za abunuasi.

IT IS TRUE 100%.TUDHUBUTU KUFANYA JAMBO UTAONA UMASKINI UKITOWEKA KWA KIWANGO KIKUBWA.
 
Back
Top Bottom