Adobe premiere pro vs final cut pro

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
haya wadau wa multmedia uwanja wetu wa kuoneshana viwango huu hapa
 
I still love Adobe Premiere Pro to do my staff and i have work with it for quiet long time now. Nimejaribu kutumia Software nyingine lakini Adobe nimeiona ni Nzuri kuliko nyingie. So am going for Adobe
 
ur damn rght buddy.have u tried Premiere pro CS5?am using CS3 i have a full bundle of it.
 
Nimeona hapo umeandika reason for editing front, nadhani ulikuwa na maana ya font, nimelazimika kuzungumzia hilo kwa sababu nimekutana na designers wengi wakisema front badala ya font, huwa nakereka.
 
umetisha mkuu.u were supposed 2 b my tutor.ha ha ha
 
Mimi sio mtumiaji mzoefu nipo katika self training and by default natumia Final Cut Pro, kitu nisichopenda ni ile hali ya kulazimika ku render kila unapofanya marekebisho, kama kuna anayejua njia bora zaidi ya kutumia final cut aniambie.
 
Mimi na Adobe tu. Nafanyia kazi software zao ZOTE.
sawa kaka.lakin angalau utupe sabab za kiufund zinazokufanya ukomae na software za adobe na hasa premiere pro.utatusaidia na sisi kwa namna moja au nyingine.
 
Mimi sio mtumiaji mzoefu nipo katika self training and by default natumia Final Cut Pro, kitu nisichopenda ni ile hali ya kulazimika ku render kila unapofanya marekebisho, kama kuna anayejua njia bora zaidi ya kutumia final cut aniambie.
nimebobea ktk premiere pro,after effect,photoshop na illustrator.na sasa hivi na najifua kuitumia maya autodesk.kwa hiyo issue yako siwezi kukusaidia ila naamin kuna madogo ambao wanaikimbiza final cut sana,wao wanaweza kukusaidia
 
Hapo kwenye maya autodesk pia umenigusa, uko hatua gani mwenzangu, nina usongo sana na 3d modelling and animation.
 
Nipo kwenye hatua ya kuweza kuunda kitu nakuweza ku appear ktk 3D view in both angles of a camera.ila maya usiisikie mtu wangu ni matata sana halfu ya ukweli.kuna thread moja nimeanzisha nauliza vyuo vinavyo fundisha 3d hapa Tanzania.
 
Final Cut Pro 3 v. 7 mwisho wa yote, Hii inabeba Audio Content, Motion Pro, Live Type, pia ina ProRes Codec, High-End Color grading na Compressor
 
Kwa kweli kwenye FCP nimeridhika nako ati kuliko Adobe Premiere CS5 niliyonayo
 
nimebobea ktk premiere pro,after effect,photoshop na illustrator.na sasa hivi na najifua kuitumia maya autodesk.kwa hiyo issue yako siwezi kukusaidia ila naamin kuna madogo ambao wanaikimbiza final cut sana,wao wanaweza kukusaidia

Hata mimi nataka kuanza self training ya Maya.

Tutasaidianaje?
 
Final Cut Pro 3 v. 7 mwisho wa yote, Hii inabeba Audio Content, Motion Pro, Live Type, pia ina ProRes Codec, High-End Color grading na Compressor

Mkuu FCP ndo mwisho wa yote...kutotumika sana kwa Macs huku kwetu ndo maana hatuip kipaombele kivle.
 
Back
Top Bottom