Adobe Premier CS4 Video Tutorial.

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Naomba wenye Video tutorial za Adobe Premier CS4 wanisaidie hasa katika mambo mawili.
1.Katika Video Mixing yahani kuunganisha video na moja n audio nyingine ambapo unaweza kumute au kupunguza audio ya video 1 na kukata video ikiwa kwenye timeline.
Nimepata video tutolia kutoka kwao hizi hapa chini lakini hii kitu hakuna.
Learn Premiere Pro CS4 | Adobe TV


2.Ni kuhusu Croma key nayo imeniwa ngumu.


Nitashukuru sana
 
ungetumia Final Cut Pro 7 usingepata tatizo hilo. Jaribu kutumia Final Cut Pro.
 
Back
Top Bottom