Adobe photoshop 7

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
5,679
6,475
Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km m2 mwenyew alikuw black kiasi gani! Hii technique inanishinda wajameni! Msaada plz!
 
kuna brushes huwa natumia kufanya touch up ya uso nyeusi. sijui hata ziko wapi ila nikizipata nitaku email. kuhusu mng'ao, sijakuelewa. unataka ing'ae kivp
 
hio easy hasa kwa bigginer kama wewe,

1. Kwanza badilisha hio photoshop 7 atleast Uwe na cs5

2. Nenda filter click blur click surface blur then adjust mng'ao unaoutaka

3. Ki advance zaidi baada ya picha kukaa vizuri nywele na vitu vya jirani pia vitakua vimepoteza uhalisia kuvirudisha kama zamani ili uache uso tu ndo uwe umebadilika tafuta eraser tool pemben hapo erase blur na uache uso tu unang'aa (wakishua sio)
 
kuna brushes huwa natumia kufanya touch up ya uso nyeusi. sijui hata ziko wapi ila nikizipata nitaku email. kuhusu mng'ao, sijakuelewa. unataka ing'ae kivp?
P.S, natumia CS5
 
mi naona msimuelekeze we baki na sura yako iyo iyo kwann ujirembe bwana
 
Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km m2 mwenyew alikuw black kiasi gani! Hii technique inanishinda wajameni! Msaada plz!
daaah mi sijatumia photoshop 7 muda kidogo, kama unaweza pata kuanzia 8 i mean CS mpk CS5 inakuwa bomba zaidi,

mi nahisi shida yako ni brightness na contrast nahisi japo sina uhakika sana, kama ndio ivyo
nenda kwenye image > adjustment > brightness/contrast cheza nazo mpaka uridhike na unachokitaka
 
Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km m2 mwenyew alikuw black kiasi gani! Hii technique inanishinda wajameni! Msaada plz!
kwa adobe AE kuna ka-plug kanaitwa "remove grain".ukikatupia hako na ukawa na technical skills on how to do some proper settings
picha hubadilika na huleta mnga'o wenye mvuto sana.kwa PS CS5/CS6
nadhani kipo,kama sijakosea inaitwa "dust and scratches,median or reduce noises"
 
hio easy hasa kwa bigginer kama wewe,

1. Kwanza badilisha hio photoshop 7 atleast Uwe na cs5

2. Nenda filter click blur click surface blur then adjust mng'ao unaoutaka

3. Ki advance zaidi baada ya picha kukaa vizuri nywele na vitu vya jirani pia vitakua vimepoteza uhalisia kuvirudisha kama zamani ili uache uso tu ndo uwe umebadilika tafuta eraser tool pemben hapo erase blur na uache uso tu unang'aa (wakishua sio)

weka link ya kupata hiyo photoshop cs5
 
Back
Top Bottom