Adobe master collection

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
Wadau kama kuna mtu ambaye anaweza kunipa taarifa ya jinsi ya kuistall adobe master collection kwenye computer haina internet connection naomba msaada.tafadhali
thanks in advanced
 
Wadau kama kuna mtu ambaye anaweza kunipa taarifa ya jinsi ya kuistall adobe master collection kwenye computer haina internet connection naomba msaada.tafadhali
thanks in advanced

Hili swali bana umekosea sehemu ya kuliuliza lipeleke kwenye Chemba husika watakujibu sawia sasa unalileta kwenye matangazo mzee vipi ulilala?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom