Adobe cs3

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Habari nahitaji kujifunza hii adobe cs3 ila sina zana zozote za kunisaidia ili niweze kuimasta vizuri.
Msaada ninaohitaji kama una link itakayo nisaidia naomba uniwekee hapa ili nijifunze vizuri au any source ambayo unayo nitashukuru sana.
 
Jaribu kusheki lynda.com wana video tutorial nzuri sana
 
Back
Top Bottom