Admision letter udom for first years 2011/2012 academic year

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Fomu na barua zinapatikana kwenye tovuti ya chuo kikuu cha dodoma unalog in kwa index no.ya form four kama user name,na surname kama password ikiwa kwenye capslock
 
Fomu na barua zinapatikana kwenye tovuti ya chuo kikuu cha dodoma unalog in kwa index no.ya form four kama user name,na surname kama password ikiwa kwenye capslock
<br />
<br />
Asante kwa hii taarifa,mkuu naomba unifahamishe lbd kiasi gan cha pesa anachotakiwa kulp mwanafunz ili apate kusajiliwa(kwa waliopata mkopo wa bodi)au na wao ndo km udsm?maana naona hali kl kukicha ktk vyuo vyetu inazdi kuwa tete!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom