Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

Adhabu ya kifo na iwepo. Kama kamtoa roho mtu wangu na yeye pia aondoke.
Je hii itasaidia kupunguza hasira au huzuni, (will justice be made then) na je aliyewauwa watu mia moja na kumyonga mara moja je inaumiza zaidi ya aliyetoa roho ya mtu mmoja?.., mbona naona adhabu ni sawasawa tu tena na wengine wanaweza wakasema kumuua mtu ni adhabu ndogo ambayo ni just seconds kwa sumu au umeme and all is forgotten (hakuna machungu tena).. while you will stay hurted na huenda wewe kifo chako kikawa more painfull kuliko huyo bwana
 
Hii issue ni ngumu sana, mara nyingine huwa nakaa nafikiria naona kama adhabu ya kifo sio nzuri, kwa sababu mhusika anaponyongwa kimsingi waliodhurika na matendo yake hawapati chochote na yeye pengine anaweza asipate nafasi ya kujifunza na kujuta kwamba nilichokifanya hakikuwa sawa, lakini mara nyingine unafikiri unaona kuna watu akili zao ni mboovu na adhabu yao ni hiyo hamna kitu kingine, mfano majambazi wanaovamia na kuua labda familia nzima watu kama hao unadhani utawafanyaje?

Nitawafunga na kuwafanyisha kazi ngumu na kama wanaweza kuzalisha au wana mali nitawafilisi na mali zao kuwapa ndugu waliobakia
 
Wafungwa si kula kulala (hasa kwa tanzania). Huko wanafanya kazi za kila aina, kilimo, ujenzi, uhunzi nk.Na mazao wanayozalisha huwa yanauzwa na nadhani chakula pia wantumia kujilisha kwa kiasi kikubwa. Magereza hutumika kama vyuo vya mafunzo vile....wanafunzwa kazi mbali mbali kwa hiyo shaka ya kodi ondoa.Mi nadhani mkosaji anayestahili adhabu ya kifo ni heri tu apewe adhabu nyingine kali mpaka ajutie kosa lake. Hata waathirika wa kosa lake labda kwa njia hiyo watapata ahueni.
Hiyo ni sawa kwa wafungwa Waliofanya makosa kama ya uibajiNk..Lakini makosa kama ubakaji na unajisiWa watoto wadogo .. si dhani kama Wanastahili kitu chochote hapo juu.
 
Hiyo ni sawa kwa wafungwa Waliofanya makosa kama ya uibajiNk..Lakini makosa kama ubakaji na unajisiWa watoto wadogo .. si dhani kama Wanastahili kitu chochote hapo juu.
Hata hivo kunajisi na kubaka mtu hahukumiwi kifo kwa tz, ila adhabu yaweza kufanywa kali zaidi badala ya miaka 35 kwa mfano, mtu ahasiwe kabisa labda!binafsi muuaji ntapenda apate mateso ya haja hapa hapa duniani, na si kuharakishiwa kifo. (japo hukumu yenyewe haitekelezwi kwa haraka na mara nyingi kihivyo).
 
The answer is simple, "death penalty haina maana".

Tafakari mifano hii:

1. Mtu akiuwa tunataka nasi tumtendee hivyo, yaani tit for tat (jino kwa jino, jicho kwa jicho). Hii ni tafsiri potofu make ni tabia ya kinyama tu kulipiza kuuwa kwa kuuwa, kubaka kwa kubaka. Matokeo yake vifo, ubakaji utaongezeka badala kupungua.

2. Kwa vile kuuwana ni unyama, imetokea mara kadhaa ajira ya kunyonga watu kukosa waajiriwa hasa nchi kama malawi watu hurundikana gerezani wanyongaji hawaonekani. Je wanaoshabikia adhabu hii wapo tayari kwa tenda hii?

3. Adhabu hii ni feki, make kwa kuhofia kutia saini ya kuidhinisha kifo, tangu utawala wa Mkapa, hapa tz hajanyongwa mtu. Ni Nyerere na Mwinyi tu walioidhinisha.

4. Watu wengi hushabikia adhabu hii kwa vile hawahusiki moja kwa moja kama kutia saini na kutia kitanzi shingo ya mtuhumiwa. Mifano michache hapo juu inaonesha ugumu wa jambo hili.

5. Kwa mujibu wa maendeleo na ustaarabu wa kisasa uliotukuka, Haki ya Kuishi kwa Binadamu (Right to life) haiwezi kunyang'anywa na yeyote, regardless kosa lililofanyika. Ndo maana marais wengi wenye kuheshimu hili hawaweki saini.

Hitimisho:Tutumie njia mbadala za kuwafanya wakosaji watumikie adhabu zao huku wakizalisha mali katika magereza ili tukuze uchumi badala ya kushabikia visasi vya kuuwana na kulawitiana.
 
Watatumia nguvu zetu kama watakuwa wanakataa na kulala tu, tunaweza tukawafanya productive kwa kufanya all those unwanted jobs ambazo watu wengine hawataki kuzifanya.., na kama issue ni kuwafanya wasi-abuse watoto je castration sio effective method?
Sijawahi sikia hata siku mojaSerial killers wamepelekwa shambaniKulima.... wenyewe hata ndani hawatolewi..Na hao wabakaji na mafataki wenyewe Hawachanganywi nawafungwa wengine ..Sababu waijui.... na kila mtu anahasira nao..Wanaolimishwa na kupigishwa hizo shughuli.

Ni wale machokora waliopora mkoba au Wauza madawa wale wa mitaani tu..Na hiyo castration kwa wanao wanajisi Watoto wadogo hiyo haitoshi.. sana sanaUmemuondolea tu testicles .. na hiyo suraNa hiyo mikono unamwachia nani...
 
Hata hivo kunajisi na kubaka mtu hahukumiwi kifo kwa tz, ila adhabu yaweza kufanywa kali zaidi badala ya miaka 35 kwa mfano, mtu ahasiwe kabisa labda!binafsi muuaji ntapenda apate mateso ya haja hapa hapa duniani, na si kuharakishiwa kifo. (japo hukumu yenyewe haitekelezwi kwa haraka na mara nyingi kihivyo).
Well Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..
 
Sijawahi sikia hata siku mojaSerial killers wamepelekwa shambaniKulima.... wenyewe hata ndani hawatolewi..Na hao wabakaji na mafataki wenyewe Hawachanganywi nawafungwa wengine ..Sababu waijui.... na kila mtu anahasira nao..Wanaolimishwa na kupigishwa hizo shughuliNi wale machokora waliopora mkoba au Wauza madawa wale wa mitaani tu..Na hiyo castration kwa wanao wanajisi Watoto wadogo hiyo haitoshi.. sana sanaUmemuondolea tu testicles .. na hiyo suraNa hiyo mikono unamwachia nani...
kuhusu kupelekwa kwenye shamba kulima sio lazima kufanyishwa kazi nje ya cell wanaweza wakawa wanafanya kazi kama za kushona au ku-assemble vitu ambavyo inaweza ikafanywa in-house am sure issue ya kazi gani ya kufanya haitakusekana

Now kuhusu castration inapunguza sexual urge na testosterone is linked to aggressive behavior (now because rape sio about sex peke yake cause muhusika anaweza akatumia vitu vingene kwa kufanya uhalifu) hawa watu watabaki ndani na hawataachiwa kujichanganya na Public..., Alafu given a choice between kunyongwa na castration am sure kila mtu atachagua kunyongwa ili kuondokana na mateso...
 
Well Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..
Anyway...uwepo wa sheria ni kitu kingine na enforcement yake ni kitu kingine! Hukumu ya kifo kwa tz ipo tu kwenye vitabu nadhani! Kutekelezeka ni kugumu. Silent Actor kaeleza kiasi hapo juu! Sasa kuliko wahukumiwe kifo ilhali wanarundikwa tu huko, bora watafutiwe adhabu nyingine kali ambayo itawaumiza na kuwafanya wajutie kosa lao maisha yao yote!
 
kuhusu kupelekwa kwenye shamba kulima sio lazima kufanyishwa kazi nje ya cell wanaweza wakawa wanafanya kazi kama za kushona au ku-assemble vitu ambavyo inaweza ikafanywa in-house am sure issue ya kazi gani ya kufanya haitakusekanaNow kuhusu castration inapunguza sexual urge na testosterone is linked to aggressive behavior (now because rape sio about sex peke yake cause muhusika anaweza akatumia vitu vingene kwa kufanya uhalifu) hawa watu watabaki ndani na hawataachiwa kujichanganya na Public..., Alafu given a choice between kunyongwa na castration am sure kila mtu atachagua kunyongwa ili kuondokana na mateso...
Kama kila mtu atachagua kunyongwa Then is all sorted .. Na hao mafataki sio kwamba watajichanganya Kwenye public. Ni huko huko gerezani hata wahalifu wenzao Hawawataki ...
 
Anyway...uwepo wa sheria ni kitu kingine na enforcement yake ni kitu kingine! Hukumu ya kifo kwa tz ipo tu kwenye vitabu nadhani! Kutekelezeka ni kugumu. Silent Actor kaeleza kiasi hapo juu! Sasa kuliko wahukumiwe kifo ilhali wanarundikwa tu huko, bora watafutiwe adhabu nyingine kali ambayo itawaumiza na kuwafanya wajutie kosa lao maisha yao yote!
Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..
 
........ 5.kwa mujibu wa maendeleo na ustaarabu wa kisasa uliotukuka, haki ya kuishi kwa binadamu (Right to life) haiwezi kunyang'anywa na yeyote, regardless kosa lililofanyika......

SA, hapo kwenye red unakusudia kusema nini?

Hiyo rule inaanzia wapi? Pengine hii ni mojawapo ya 'chicken-egg' dilema...wapi haki hiyo ya kuishi inaanzia - kwa muuwaji au kwa aliyekwisha uwawa? Kama tukisema haki ya kuishi haiwezi kunyang'anywa.....je wanaonyang'anya wenzao haki hiyo wafanywe nini?
 
Nitawafunga na kuwafanyisha kazi ngumu na kama wanaweza kuzalisha au wana mali nitawafilisi na mali zao kuwapa ndugu waliobakia

Kuwafanyisha kazi ngumu inawezekana lakini ikitokea afya zao zimekuwa mgogoro, hawana uwezo wa kuzalisha tena, Kimsingi ukifikiria rationally adhabu ya kifo haina maana, hata kifungo cha maisha hakina maana vile vile hasa kwa jela zetu za Tanzania ambazo wafungwa wanalima mchicha tu, ila kama wangekuwa wanazalisha mfano hata kwenye mashamba makubwa au viwandani au project yoyote ambayo ni productive kifungo cha muda fulani kutegemea na umri alionao ingekuwa sawa.
 
Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..
Serial killers nadhani kesi yao ni maalum sasa and they should be handled in a special way too...Hawa watu si wanakuaga na matatizo ya kisaikolojia yanayopelekea wao kuwa serial killers?
 
Nashukuru sana kwa majibu yako.... Lakini kuna wengine piga, adhibu utakavyo Hawatakaa wa regret chochote.... Serial killer mfano tu... wanaona walichofanya ni sawa..

Hivi watu wananyonga ili kuadhibu ?, Kukomoa ...? au ili kufanya watu waache kufanya hilo kosa?, sababu kama ni adhabu mi ninadhani ni adhabu nyepesi..., watu kama kina Hitler walivyojiua kuna sense ya kwamba Justice haikufanyika..., alafu kufungwa for life bila uhuru wala kufanya unachofanya ni adhabu tosha ujute usijute hio ni juu yako, na point yangu hapo juu ni kwamba castration ni adhabu kali kuliko kunyongwa thats why nikasema hata kama ni choice hakuna mtu atakaechagua hii adhabu
 
kunyongwa binafsi naona ni kumtafutia muuaji shortcut ya kutumikia adhabu. Heri afungwe huko na apewe kibano maisha yote mpaka akili ichemke hasa!
 
Well Ninachotaka kusema ni kidonda cha mwili Kinapona ...kidonda chamoyo ni kigumu sana kukiondooa Ukipata taarifa alie kuulie mzazi wako hayupo Duniani tena kuna ahueni fulani... Lakini unaposikia kafungwa miaka 35... Is not good enough ... Hata kama haita mrudisha umpendae. Lakini utaishi kwa amani kidogooo..
Mhh this is debatable ukisikia kwamba alikuulia ndugu yako na kuwatesa na kukatisha maisha yao ameondolewa duniani kwa kuchomwa sindano ya sumu au electric chair ( na kupata maumivu ya sekunde ) sidhani kama itasaidia?, sababu sidhani maumivu yake na yako yapo sawa.., vilevile ukingatia hata wewe kuna siku utaondoka duniani.., kilichofanyika ni kwamba yeye ametangulia.., wakati ukisikia aliyeua yupo anafanya kazi ngumu siku baada ya siku atleast utajua kwamba jamaa anasuffer
 
Back
Top Bottom