Adhabu ya kunyimana.

Umenena vema!
Hii ndiyo suluhu ya tatizo!
mwalim umenena.
nilikuwa najiuliza hivi mawasiliano ya kindoa kati ya wananandoa yanasimamiwa na nini na wapi?

je ni tendo tu la kumake love ama ni pamoja na maongezi ya siku nzima na maisha ya siku hiyo? kama ni wakati wa tendo tu basi rejections lazima itakuwepo tu manake hakuna maandilizi hata kidogo. ila kama maisha ya siku nzima yana akisi mawasiliano ya kindoa basi lazima utajua leo wangu ana hamu na mimi ama la. na kama unahamu utakuwa umesha express kihisia zako na amekusoma na infact wakati wa tofauti kati ya wanandoa ni busara zaid mmoja kujishusha pasi kuhesabu gharama ili kurudisha amani iliyopotea kati yenu.

huwaga nasema kama imeshindikana kabisa basi ni bora mkiingia kitandani mkakumbatiana tu and Mungu alivyo wa ajabu utashangaa amani imerudi na hisia za mapenzi zimeamka kati yenu.

kiukweli nasema siwezi hata siku moja kumnyima wangu wa kumoyo lol! yaani nilale na nyege eti nimesusa i cant aisee. ama sina hamu lazima aitafute hamu yangu ilipo ailete ngoma ilie.
 
sweetlo gfsonwin mwaaah

Ninapata mashaka, hapo kwen bold hivi inawezekana wanawake wengi hawanaga hayo makitu? au huwa ziko chini sana? maaan its as if eti yeye anakupa kama courtesy tu na sio kwamba yeye pia ana hamu ya kimaumbile, hebu nisaidie jamani!

kuna wanawake wasio kuwa na nyege kabisa na hii ni maumbile tu na hasa wakifika umri fulani yaani miaka kuanzia 35 kuendelea. lakin pia wapo ambao wao nyege zao ziko chini na hii husababishwa wengi na matatizo ya kisaikolojia.

lkn mwanamke ambaye anamnyima mumewe kama adhabu bado simwelew kwamba ndo silaha anayoweza kuitumia kabisa ambayo inamuadhibu hata yeye mwenyewe?
 
sweetlo gfsonwin mwaaah

Ninapata mashaka, hapo kwen bold hivi inawezekana wanawake wengi hawanaga hayo makitu? au huwa ziko chini sana? maaan its as if eti yeye anakupa kama courtesy tu na sio kwamba yeye pia ana hamu ya kimaumbile, hebu nisaidie jamani!
nani kasema hatuna,tunazo pipa mia 8!sijui wenzangu!
 
Back
Top Bottom