Adhabu ya kunyimana.

Kwani njia ya mazungumzo haiwezi ikawa suluhu ya matatizo mpaka kunyimana?

Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!
 
Kwa nini njia ya mazungumzo usishike nafasi? Kama sio adhabu nini?
Well said my Wii,
Sidhani kama ni adhabu, maana kama nina machungu moyoni hiyo hamu ya unyumba itatoka wapi?
Tu wepesi wa kutuliza homa na panadol lkn tunasahau kutibu infection kwa antibiotic!
 
Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!
King'asti did u really mean this??! (am ver siriaz...)
 
Last edited by a moderator:
By St. Paka Mweusi
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??

Nahamia kwa Kaka yake a.k.a Shemeji yangu.
Ili twende Sawa na Heshima iendelee kuwepo.
Madame B...ivi ruttashobolwa alikuambiaga mi ni mdogo wake??! ;-)
 
Last edited by a moderator:
Of course mazungumzo ndio mwake, lakini si mnakimbia nyumba na kwenda bar kisa kujiepusha na kelele za mwanamke. Source Dark City


Wewe Kaunga naona sasa unataka kutishia usalama kwa kuonesha utaalamu wako wa kuunganisha dots!!

Hata hivyo nilitaka kushangaa kama kweli kungewa na mtu amekuwa kwenye ndoa walau kwa mwaka mmoja na hajawahi kutembeza au kuchapwa adhabu hiyo!!

Wengine hata hatuwezi tena kuhesabu ni mara ngapi tumetembezewa mkong'oto wa namna hiyo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Si adhabu nzuri kwa wapenzi kunyimana naungana na ruttashobolwa kwamba inachangia usaliti..maana wanaume tukinyimwa kwa kweli huwa tunawaza vingine kabisa,
hatuoni kama ni adhabu.
 
Kwani njia ya mazungumzo haiwezi ikawa suluhu ya matatizo mpaka kunyimana?

Kuna mwanaume ambae yeye yuko sawa wakati wote, hakosei na hataki kuambiwa. Kuna wanaume wakiona wameharibu wananuna! Wakati mwingine unakuta the same thing mnaongelea kila siku, nani anataka kuitwa vuvuzela? Utageuka wewe vuvuzela baba. Na zingatia, hujanyimwa ila umepoteza ule mvuto. Ni wajibu wako kujirudishia mvuto kabla :A S-heart-2:hayajachacha.:A S 39:
 
King'asti did u really mean this??! (am ver siriaz...)

I really mean it! Unless tunayaweka mezani na ugomvi unaisha kwa makubaliano, hamu ya unyumba haiwezi kuwepo. Ndo unajikuta mama wa watu anajilazimisha ili sipigwe lakini ndo anakuwa mkavuuu! Saa zingine hata mlango haufunguki, anagugumia bora yaishe ili kuepuka maswali. Aisee, binafsi nikiwa na hasira zitulize kwanza. Na unavyonipa muda naanza kuku-analyse na kugundua kasoro milioni! :frusty:
 
Of course mazungumzo ndio mwake, lakini si mnakimbia nyumba na kwenda bar kisa kujiepusha na kelele za mwanamke. Source Dark City

Hehehee, wanaume bana! Afu akirudi anategemea tatizo nalo limelewa pombe. Asubuhi ukiongea anakushangaa. Yaani umemuudhi mwenzio afu unamuachia gap, wakimrubuni kina Erickb52 ndo utabana ngenge.
 
Last edited by a moderator:
ni adhabu nzuri sana. hamkuona ule uzi MMU ambapo yule 'mwanaume rijali' alimnyima mkewe unyumba mpaka mke 'akasalimu amri' na 'kuomba msamaha'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom