Adhabu ya kuiba dola 60,000,000 eti kujiuzulu tena kwenye nchi ombaomba!

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Mawaziri wawili nchini Uganda walipata adhabu ya kuachia uwaziri kwa kugundulika kupoteza zaidi ya dola 60,000,000. Mungu akupe nini katika nchi ya wapumbavu kama hii? Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.
 
Hii ingefaa sana kupostiwa kule tunakozungumza sana lugha ya kigeni sheikhe
 
Uganda inaongoza kwa ufisadi sasa hivi EAC, TZ ya pili, Kenya wamekua vigilent wamedrop hadi no 4, baada ya Burundi....kuna waziri mmoja wa Afya Uganda aliiba hela yote ya madawa ya misaada ya HIV na alipobanwa kujiuzulu akajibu kijeuri kuwa alipigana vita msituni na mu7 kwa hiyo kwa aina fulani ana haki ya kukwapua hizo funds...Africa sijui nani anaipenda imaonekana hata mungu haipendi baada ya utumwa, wakaja wakoloni baada yao sasa tuna makatili wazawa wasiojali wanachuma na kikinuka wananyanyuka kuishi Cape town, London, Paris n.k
 
Mawaziri wawili nchini Uganda walipata adhabu ya kuachia uwaziri kwa kugundulika kupoteza zaidi ya dola 60,000,000. Mungu akupe nini katika nchi ya wapumbavu kama hii? Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.

Kuachia ngazi ni hatua ya kwanza,
Hatua ya pili ni kuchunguza kupata ushahidi kisha wafikishwe mahakamani.

Wapeni pumzi muone mwisho wao.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom