Adhabu ya ajabu kwa shule ya msingi.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,444
3,198
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini (sakafuni) siku nzima.
Wakati wa kuingia darasani asubuhi, wanafunzi wa darasa la 4, 6 & 7 waliofanya mtihani wa asubuhi, huitwa majina na kuruhusiwa kuingiza madawati watakayokalia. Wanafunzi wasiofanya mtihani hupewa adhabu ya kukaa chini siku nzima.
 
Back
Top Bottom