Adhabu kandamizi kama hizi ni noma.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
A 34-year-old Indonesian woman was caned in front of a mosque after being caught having extramarital affairs while divorcing her husband.

Irdayanti Mukhtar received nine lashes of the cane for committing adultery before 200 jeering onlookers outside the Al Munawwarah Mosque in Jantho, Indonesia, the Jakarta Globe is reporting.

Mukhtar had been sentenced to the punishment the previous day by a Sharia court where prosecutors said that she was guilty of being in "close proximity" to another man.

The Daily Mail reports that Mukthar was one of four people, including the man she was caught with, to be caned for extramarital affairs Friday. Sharia Police are also investigating a claim that Mukhtar was molested by the crowd before they took her to be charged.

Shortly after the caning, Mukhtar passed out and had to be taken to hospital for treatment.

View photos of the caning below:

CANING-IIII.jpg

CANING-III.jpg

CANING-I.jpg

what disappoint me ni ile kdhima kama vile she was doing it to herself

sheria iko wapi bila haki?
 
We love Laws - but we can't keep them. Even those who are punishing the woman are just gilty as she is!
 
Tuseme ukweli sheria kali kama hizi tz zingepunguza sana ukimwi,watoto wa mitaani!nashangaa mpaka leo govt haijaweka sheria ya kuwa na CHETI CHA NDOA kwa mwanamke na mwanaume wanaolala hotel au guest!hotel za kkkt kama uhuru hostel moshi au za wasomali kkoo hudai cheti kama upo na kitumbua pembeni.
 
Sheria za unyanyasaji hazipunguzi ukimwi..., kuelimisha watu kuhusu ugonjwa huu kutabadilisha maisha,mtazamo na uenezaji wa ukimwi. Uganda ni mfano mzuri wa ninacho kieleza.
Tunachoki shuhudia hapo juu ni sheria za uenzi za shaba zanazonyanyasa,aibisha na kujenga chuki. Tofauti yetu watanzania na hao watu hapo juu ni UTU......
Elimisha watu kisha wape haki ya kuchagua muelekeo wa maisha yao....
 
Si kweli hata kidogo. Ukimwi upo hata nchi zenye sheria kandamizi kama hizi. Pakistan, Afghanistan, Somalia na nchi nyingi tu. kinachotakiwa hapa ni mipangilio ya kisayansi katika kukabiliana na janga hili. Elimu ya Afya kuhusu ukimwi kwa mfano imesaidia sana kupunguza kasi ya ueneaji wa ugonjwa huu hata katika nchi kama yetu ambayohaina sheria kama hizi na ikumbukwe kwamba hivi karibuni tumepongezwa kwa kufaulu kuipunguza kasi ya usambaaji wa ugonjwa huu. Kudai vyeti vya ndoa katika nyumba za kulala wageni ni aina mojawapo ya unyanyasaji kwani ni vigumu mtu kutembea na cheti cha ndoa kila aendako ukizingatia kwamba cheti hicho hutolewa mara moja tu. Isitoshe kwa tekinolojia ya sasa vyeti vya kugushi vitafurika mitaani kwa ajili ya kufanikisha malazi hotelini.
Such primitive and repressive laws will only exacerbate the situation. There are no such laws in western countries and yet the AIDS situation keeps on improving year after year. I insist, combined efforts and not such measures will do.
 
Maria Roza na wewe itabidi tukupeleke Indonesia kwa kuweka hii avatar, sharia inakataza kutegana!!!

avatar14901_27.gif
 
Inashangaza sana hii habari, labda mletaji wake ana ajenda ya siri. Uzinifu umefanywa na mwanamke na mwanaume, lakini zinaletwa picha za kuadhibiwa manamke, ingawa habari inaeleza kuwa hata huyo mwanaume pia ameadhibiwa...! Kulikoni!?
 
Mapungufu ya sheria kama hizi ni kwamba adhabu zinatolewa kutokana na majungu tu. Mara nyingi hakuna ushahidi wa kutosha.:ranger:
 
Mwanamke alipopelekwa mbele yake kwa kuwa mtenda dhambi, aliwaambia yeyote yule ambaye hana dhambi kati yenu na awe wa kwanza kumlushia jiwe. Akainama chini akichola. Alipoinuka wote waliomshitaki walikuwa wametoweka. Akamwambia enenda zako na usitende dhambi tena. Nawakilisha.
 
Nasema hivi ni ujinga na upuuzi ndio uliowajaaa hao wanaoshabikia sharia
 
Inashangaza sana hii habari, labda mletaji wake ana ajenda ya siri. Uzinifu umefanywa na mwanamke na mwanaume, lakini zinaletwa picha za kuadhibiwa manamke, ingawa habari inaeleza kuwa hata huyo mwanaume pia ameadhibiwa...! Kulikoni!?

nami nasubiri jibu, lakini mleta mada amecopy kutoka mahali, pengine alikocopy hawakudisclose information za mwanaume.
 
Inashangaza sana hii habari, labda mletaji wake ana ajenda ya siri. Uzinifu umefanywa na mwanamke na mwanaume, lakini zinaletwa picha za kuadhibiwa manamke, ingawa habari inaeleza kuwa hata huyo mwanaume pia ameadhibiwa...! Kulikoni!?

X Paster,
Usimuelewe vibaya mleta picha. Yeye picha katoa mtandaoni, huenda hata hapo alipozichukua hawajaweka picha za mwanaume aliyekuwa anazini na huyo dada. Ndo shida ya mfumo dume ulivyo, si mleta mada.
Do not go that far man!
 
A 34-year-old Indonesian woman was caned in front of a mosque after being caught having extramarital affairs while divorcing her husband.

Irdayanti Mukhtar received nine lashes of the cane for committing adultery before 200 jeering onlookers outside the Al Munawwarah Mosque in Jantho, Indonesia, the Jakarta Globe is reporting.

Mukhtar had been sentenced to the punishment the previous day by a Sharia court where prosecutors said that she was guilty of being in "close proximity" to another man.

The Daily Mail reports that Mukthar was one of four people, including the man she was caught with, to be caned for extramarital affairs Friday. Sharia Police are also investigating a claim that Mukhtar was molested by the crowd before they took her to be charged.

Shortly after the caning, Mukhtar passed out and had to be taken to hospital for treatment.

View photos of the caning below:

CANING-IIII.jpg

CANING-III.jpg

CANING-I.jpg

Si ndio wenzetu wanataka itumike Tanzania? Si wameanza na Islamic Banking ambayo iko ndani ya Sharia?
 
Mwanamke alipopelekwa mbele yake kwa kuwa mtenda dhambi, aliwaambia yeyote yule ambaye hana dhambi kati yenu na awe wa kwanza kumlushia jiwe. Akainama chini akichola. Alipoinuka wote waliomshitaki walikuwa wametoweka. Akamwambia enenda zako na usitende dhambi tena. Nawakilisha.
Hii hadith yako si authentic.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom