Adhabu gani wapewe walioiangusha ccm igunga?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
  • Inasemekana kuwa Magufuli, Wassira, Mgulu Nchemba, Rage Mukama ndio wamechangia KUILAZA CHALI CCM katika uchaguzi jimbo la Igunga uliompa ushindi Dalali na kutenguliwa na Mahakama kuu unadhani CCM iwape adhabu gani wahusika hawa?????????????????/
 
Wapewe vyeo vya juu zaidi chamani kwao huko ikiwa ni pamoja na cheo cha UKAMANDA WA GREENGUARD taifa pamoja na ukatibu mwenezi wa MabwePande na mashaibu yake kwa taifa.

We work as a team. Hatuna utamaduni wa kutafuta mchawi tatizo linapojitokeza. Najua mngetamani vurugu zitokee, lakini sisi sio ninyi.
 
  • Inasemekana kuwa Magufuli, Wassira, Mgulu Nchemba, Rage Mukama ndio wamechangia KUILAZA CHALI CCM katika uchaguzi jimbo la Igunga uliompa ushindi Dalali na kutenguliwa na Mahakama kuu unadhani CCM iwape adhabu gani wahusika hawa?????????????????/

MAGAMBA hawakuangushwa na watu uliowataja, ila sera zao mbovu, UFISADI, UMASKINI wa wananchi, KERO kwa wananchi na UONEVU kwa watu wake
 
waendelee kuwa wapiga kampeni wakuu wa chama hicho kwani kazi yao nzuri
ilitambuliwa hata na Msajili wa vyama,ila tu mahakama ndio imefanya kinyume na matakwa yao.
Tume ya uchaguzi iliwaona wana juhudi nzuri za kukiletea ushindi ccm hivyo waendelee
kuenziwa kwa nafasi zao tu.
 
Kama kawaida ya ccm. Watawateua kuwa mabalozi ktk nchi tofauti tofauti. Sisi ndiyo ccm vyama vingine nbi fotokopi tu
 
Wapewe vyeo vya juu zaidi chamani kwao huko ikiwa ni pamoja na cheo cha UKAMANDA WA GREENGUARD taifa pamoja na ukatibu mwenezi wa MabwePande na mashaibu yake kwa taifa.

Kuhusu UKAMANDA WA GREENGUARD taifa na ukatibu mwenezi wa MabwePande nafikiri Mh. Aden Rage alioonyesha kwa vitendo uwezo wake wakati wa uchaguzi wa Igunga. Kwa kupanda na mkono wa kuku jukwaani. Kwa hiyo anafaa kuwa kamanda Mkuu wa MabwePande.
Ehiy66Cd87q2NAT+PyigZr5NjYDAAAAAAElFTkSuQmCC
View attachment 62754View attachment 62754View attachment 62754
 
  • Inasemekana kuwa Magufuli, Wassira, Mgulu Nchemba, Rage Mukama ndio wamechangia KUILAZA CHALI CCM katika uchaguzi jimbo la Igunga uliompa ushindi Dalali na kutenguliwa na Mahakama kuu unadhani CCM iwape adhabu gani wahusika hawa?????????????????/

Hao jamaa sidhani kama wanaweza wakawa wamechangia kukipiga chini Chama Cha Magamba huko Igunga. Hao watu ni thithiemu original. Kiutaalamu,Magufuli ni bingwa wa mahesabu,bomoa boma,vipimo na idadi ya viumbe ndani ya maziwa na bahari katika chama.Wasira ni bingwa wa kusinzia,kuota ndoto na masumbwi ndani ya chama.Mwigulu Nchemba ni bingwa wa kuongea maneno mbofu mbofu na kuidharirisha bendera ya Taifa kwa kuifanya kuwa skafu, akifikiri ndiyo anaipeperusha! Rage ni baunsa wa chama anayetembea na bastola kiunoni na kuionyesha hadharani bila woga na kutochukuliwa hatua kama ilivyoahidiwa. Mukama ni mwalimu wa Nape. Kwa hiyo yale yote anayoyasema Nape anakuwa ameyatoa kwa mwalimu wake.

Sio rahisi hao jamaa kuilaza chali timu yao. Watakula wapi? Kumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi Igunga hao wote walikuwepo na kuipa tafu timu yao. Haki imetendeka jamaa wanataka kusonga mbele kwa kukata rufaa.
 
HILI LA KUMNYIMA MWIGULU SIFA YAKE KUU KITAIFA KAMWE HALIVUMILIKI

Mkuu Kisugujira hili halivumiliki uonevu wako kwa Mwigulu Nchemba aka Kamanda wa jeshi lisilo rasmi linalotumika kigaidi (THE GREENGUARD NA BUNDUKI ZA KI-CHINA) nchini Tanzania; hivi ndio kusema umeamua kufumbia macho sifa yake kuu na mke wa kada kule Igunga au ndio tuseme umefanya makusudi tu??????

Tehe tehe tehe mzinzi wa Taifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom