adhab kwa wafanyakaz wa kwenye hifadhi za wanyama

franci

Member
Feb 6, 2012
5
0
jamaa fulani alikuwa mfanyakaz wa hifadhi moja huko arusha sasa akawa ametenda makosa makubwa sana kwa boss wake , ndipo boss akampa adhabu huyo jamaa adhab yenyewe ilikuwa kupita hifadhini ukiwa uko uchi tena kwa miguuhalafu hifadhi yenyewe ilikuwa na simba wenge sana
baada ya jamaa kupewa iyo adhabu alifikir kuwa mwisho wa maisha yake umefika lakin akajitoa muhang a ivyo ivyo akavua nguo zote akaanza mbio kupita hifadhin alipo fika katkati ya hifadhi aka kutana na kund la simba wemgi lakin akajikaza hivyo hivyo
wale simba walipo muona wakatimuka mbio kwa kumuogopa yule jamaa

wakati simba wanakimbia wakakutana na swala
swala wakawauliza simba; "kumbe nanyie munaogopa"
simba wakajbu;"Eeeeee.... bhana maaana tangu tuzaliwe hatujawahi kuona mnyama mwenye mkia mbele'
 
Back
Top Bottom