Adela wa Mrisho Mpoto ni Mheshimiwa Spika anatumwa kwa JK?

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Ndugu wana Jamii Forum,

Nimesikiliza kwa makini maudhui ya wimbo wa Mrisho Mpoto uliotoka hivi karibuni unaohusu ...Adela Nyoosha kidole... uliosheheni mashairi yenye mizani na ubra wa hali ya juu ambapo kwa mtu yeyote ambaye hajui hali ya kisiasa ya nchi hii hawezi kuelewa maudhui ya mashairi hayo. Ninaomba yeyote mwenye kujua jinsi ya kupata mashairi hayo atushirikishe, ningependa tujadili je wimbo huu unamhusu nani hasa katika jukwaa la siasa la Tanzania... binafsi nawaona waheshmiwa wengi tu wnatajwa humo.... nadhani ujumbe huu utawafikia

Chondechonde msiupige marufuku ni muhimu kuyafanyia kazi yaliyomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom