Addiction ya kusafiri kwa Viongozi wetu

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Juzi Juzi Dr Bilal alikuwa USA
Malecela UK,USA
Achiliia King of Airspace,Kiranja mkuu

Sasa mtoto wa mkulima yuko Far East,it seems kila mwaka lazima aende huko
Mr Pinda na mkewe eti wamefungua Meli ya Utafiti wa Mafuta Korea!!!(sio Tanzania)

Yuko na akina Ngeleja ambae ameshindwa kabisa majukumu yake(at least Korea hawana mgao wa umeme)

Eti Mama Pinda naye anapewa wasaa wa kufungua meli hiyo ya mafuta(sio govt official).
Can you imagine mke wa Sokoine,Cleopa Msuya kufanya jambo hili?

A country now is a big joke
 
hHIVI VASCO DA GAMA KASAFIRI TENA? HUYO KING OF AIRSPACE. AHAA KUMBE KAENDA JUBA.
 
Juzi Juzi Dr Bilal alikuwa USA
Malecela UK,USA
Achiliia King of Airspace,Kiranja mkuu

Sasa mtoto wa mkulima yuko Far East,it seems kila mwaka lazima aende huko
Mr Pinda na mkewe eti wamefungua Meli ya Utafiti wa Mafuta Korea!!!(sio Tanzania)

Yuko na akina Ngeleja ambae ameshindwa kabisa majukumu yake(at least Korea hawana mgao wa umeme)

Eti Mama Pinda naye anapewa wasaa wa kufungua meli hiyo ya mafuta(sio govt official).
Can you imagine mke wa Sokoine,Cleopa Msuya kufanya jambo hili?

A country now is a big joke

Nasikia NASA wanataka Kumuajiri King Of Space wampeleke Mars
 
Kuna fununu Kiranja mkuu alikuwa London Jumamosi?
If so,hiii ni kali
 
hivi hawaoni aibu wanavyokwenda nchi za watu na kuona zilivyoendelea..wakilinganisha na tz.
 
Ulaya,hakuna vumbi,kulala giza.
Halafu kama wewe kilaza wa CCM unaweza kufanya unalotaka,maana hamna anayekujua
 
Back
Top Bottom