Addicted with majimama

Duh Senetor! pole pole kaka,yani unamanisha huna wakudumu au huna mmoja unao wengi ukijisikia tuu unaruka na mmoja? ivi unadhani una utendea haki afya yako? sio kwa sababu ya majimama hapana wewe mwenyewe unajipenda kweli? mbona ni mdogo umri wako kwa mkorogo huo unao ufanya? kumbuka Kama ingekua tamu hiyo usingeikuta,nende nayo aste aste.
 
well,ni kwamba,yani kutokana na hawa wa2 kuwa ni wa2 wanaoishi mtaani na mie niko chuon,bac huwa nakutana nao mara moja moja{mara nyng weekend},namalizana nao na hakuna commitment yoyote,then kuhusu hao wadada wenye miili mikubwa,kwa kwel naweza kusema nao ni wakubwa kiumri kwangu.

kwa hiyo una maanisha una mpenzi zaidi ya mmoja? wewe una pepo wa ngono, nahisi hapa unamtuhumu ex- wako ili upate sababu ya kuhalalisha ufuska. Halafu uko chuoni, unafanya nn? For sure at the end of the day utavuna mabua. Ila mh!.....kipendacho roho, hula nyama mbichi, kumbuka kucheza salama, otherwise R.I.P
 
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?

Kuwa mwangarifu wasije wakawa wajane tukakupoteza kijana wewe ni nguvu kazi muhimu katika Taifa hili
 
Senetor sasa uaendelea hivo mpaka lini?nakuona bado mdogo sana uwe makini tu usije ukapata stress kubwa zaidi na kuharibu future yako
 
kama alivyosema afrodenzi,fanya kile roho yako inapenda,ila play safe.inaonyesha hutaki kuji commit katika relationship.kwako wewe unataka one night stand huku maisha yanaendelea.uzuri wa majimama:
na wao wanapenda kumalizwa haja zao,kuna kuolewa hapo au kuhongwa kwa wingi,no stress,no introduction kwa ndugu na jamaa.ubaya wa majimama:maybe wengine ni wake za watu,au wamefiwa na waume zao{hujui wamefariki na nini}unaweza ukawindwa na waume zao na wakakufanya lolote lile.kwa upande mwengine wewe ni kijana mdogo kujiingiza na mambo hayo
 
Acheze kooooote awe makini na wajane wenye rangi mbili
 
Yes kuna madhara makubwa sana

1) You will never be independent
2)You might not get married but utaishia kufugwa na hayo majimama
3) Hata ukiona, utakuwa kama mzaire, utapendwa kutunzwa na kudekezwa na mkweo, kitu ambacho nina hakikaa hataweza
4) status/mwonekano wako kwenye jamii utalingana na matgendo yako

Ushauri: achana na hiyo tabia mbaya,
 
kija acha kuendekeza ngono,acha tamaa mbaya. Waza mambo ya mendeleo na si majimama,p@@'*?vu zako.
 
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
chumvini vipi? unazamia?
 
Hakuna shida katika hilo, ila naamini hutaoa kwa sababu hao majimama wengi wameishaolewa. Na ikitokea ukaoa mkeo atapata shida sana kwa sababu utakuwa unamchanganya na hao majimama.
 
Ukiamua kula haramu chagua iliyonona.
Vingine hawa mabinti wadogo ukitaka kuwa nao kapime bp kwanza.
Tahadhari lazima kwa yeyote, awe mdogo au mkubwa. UKIMWI hauna chapa wala hauchagui umbile.
Nani unatembea naye na kwa nini ni uamuzi wako, lakini tahadhari katika ngono ni muhimu na lazima ikiwa unataka uendelee kuchangia hapa.
 
Tahadhari lazima kwa yeyote, awe mdogo au mkubwa. UKIMWI hauna chapa wala hauchagui umbile.Nani unatembea naye na kwa nini ni uamuzi wako, lakini tahadhari katika ngono ni muhimu na lazima ikiwa unataka uendelee kuchangia hapa.
asante kwa mawazo yako mkuu.
 
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?

Duh! Una guts mzee! Umri huo unawavaa majimama!
 
Mh! Unafata ile kitu tu au wanakupa pesa za matumizi ya chuo??? Angalia kijana juzi tumemzika jimama mmoja mke wa mtu alikuwa anagawa kama pipi kwa vijana kama nyie na mume anasubiri tarehe; na vijana mtahani sura zimewatawanyika.
 
mara ya mwisho nilipima mwez wa 5 mwaka huu,majibu yalikua fresh.
 
Yani mwana umechagua fungu jema!
Yanini stress! Upo baharini, samaki m1 akikuponyoka kamata mwingine!
Kume 23 hata kwene 100 robo hujafika,Muda ndo huu kanyagia mafuta!
Halafu haya majimama ni matamuuu!
 
Yani mwana umechagua fungu jema!Yanini stress! Upo baharini, samaki m1 akikuponyoka kamata mwingine!Kume 23 hata kwene 100 robo hujafika,Muda ndo huu kanyagia mafuta!Halafu haya majimama ni matamuuu!
umeona eeehh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom