ADC sasa wanaivuruga CDM na Wataivuruga CDM

hata wakivaa magwanda, CHADEMA brand is way out of anyone's radar nowadays

Ni sawa na kuchukua batavuzi, ukaipiga nembo za toyota na kuzunguka nayo kama toyota (aina yoyote ile)

tena vizuri zaidi watumie na pipoooooooooooozzz:A S-rap:
 
Hili hata mimi nililiona mapema, fikiria rangi hizi za bendera zitakavyochanganya watu kwenye karatasi za kupigia kura, ningemshauri Tendwa kama ADC bado wanausajili wa muda wasinge pewa wa kudumu kabla hawajarekebisha rangi kwenye bendera zao.
 
Mungu akikupa kibali chakukubalika hata mtu akija kwajina lako
hatapata heshima kama yako.kama tumepewa kuiongoza nhi 2015
hakuna atakaye tunyang'anya.ila tusibweteke kwakuwa tunasifiwa.
 
ukitaka kujua uzuri wa biashara na tajiri nenda kafungu aiskrimu karibu na bakhresa ukifikiri utampiga bao.
 
Back
Top Bottom