ADC sasa wanaivuruga CDM na Wataivuruga CDM

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Mkutano wa ADC sasa wanatumia alama ya V katika mikutano yao.

Pia bendera yao ni kama ya CDM
 
Hivi hii ADC iko mkoa gani,mbona sijawahi hata kuona ofisi yake?wala kusikia watu wakiiongelea?ni chama au SACOS fulani?
 
Kwenye jimbo na mtaa wa ZZK karibu kila baada ya nyumba tatu kuna bendera ya ADC (Mwandiga-Kigoma kaskazini).
 
ADC ni mnyama gani, there is no worry about mdudu aitwaye ADC. Waache waeendelee na mapenzi yao yasiyo salama na yenye mashaka baina ya CCM, KAFU NA ADC.
 
Kwenye jimbo na mtaa wa ZZK karibu kila baada ya nyumba tatu kuna bendera ya ADC (Mwandiga-Kigoma kaskazini).

dada nimeipenda hii lakini source please, pia angalia ZZK anatumiwa na magamba angalia tusije tukakuokotea mabwepande wakiwa wameshakuCATRATE apo mbele
 
M4C HAINA HUUSIANO NA YEYOTE, CUF ALIJARIBU ARUSHA NA M4C YAO AKAISHIA KUFADHILIWA NA CCM KUSAFIFIRISHA WATU MPAKA A-TOWN, NADHANI KWA SASA NI SHAHIDI KATIKA KAMPENI ZA DARAJA II WANATAMANI HATA KUJITOa
 
dada nimeipenda hii lakini source please, pia angalia ZZK anatumiwa na magamba angalia tusije tukakuokotea mabwepande wakiwa wameshakuCATRATE apo mbele

Source ni personal observation, so if u want to quote you can quote me!
 
Cdm haina sera ya matusi hivyo wanachama wake jihadhalini na mtego huu wa chama cha matusi msiwe wafuasi wake pasipo kujua. Waelezeni wapinzani wetu sera zetu kwa hoja na baadae watagundua kuwa CDM si kama wadhanivyo kuwa ni wachaga na kanisa bali cha watu wote wapenda haki na maendeleo endelevu.
 
tunawafahamu kwa majina mnaopost upuuzi wenu hapa...kama mmetumwa muwaambie hatuyumbishishwi na mbwa wala watoto wa mwenye mbwa.tunapigania kuikomboa nchi nyie mnaleta usanii wenu hapa.mtaishia kula makombo na kulamba miguu ya watawala mpaka lini? ADC ITAENDELEA KUWA NYUMBA NGODO YA SISIEM WAKIONGOZWA NA MKE KUBWA JINGA CUF.........VIVA CHADEMA
 
Back
Top Bottom