ADC, CCK, CUF, NCCR na CHAUMMA; Mko wapi?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Jamani hivi ADC,CCK,CUF,NCCR na CHAUMMA, viko wapi na wanachama wake wako wapi?
manaake hapa jamvini kutwa mzima ni habari za Chadema na ccm....chakushangaza zaidi
hata wale wanaojinasibu kuwa ni wafuasi wa vyama hivyo nao kutwa mzima ni kuchangia
Thread zinazohusu Chadema na ccm hapa jamvini. Sasa kama kutwa mzima muko hapa ku
coment thread za Chadema na ccm, hivyo vyama vyenu vitasikika na kujulikana lini masiki
oni na machoni mwa wananchi? Hivi hamna kitu chochote cha kutuelezea kuhusiana na hi
vyo vyama vyenu? Hivi kwa mwendo huo wa kutwa mzima kushinda kwenye Thread za Ch
adema na ccm, bado mnafikiri siku moja mtaishika na kuiovateki Chadema?

Muongozo tafadhari
 
RATIBA KUTOKA KWA MSAJILI WA VYAMA VYA KISIASA KUHAKIKI WANACHAMA WAANZILISHI WA CHAMA CHA ADC.
1. Tanga 8/07/2012......done and approved by JB Tendwa. 2. Mwanza 10/07/2012........done and approved by Ludovick Joseph and Isaya Makoko, 3. Mara 12/07/2012, 4. Unguja 14/07/2012, 5. Pemba 12/07/2012...End of phase one. 6. Tabora, 7. Dodoma, 8. Linda, 9. Mtwara, 10. Dar ES salaam inahitimisha on 17th August 2012. Sasa Unataka tupige kelele za nini while we r busy heading towards U guys?ADC DIRA ya Mabadiliko.
 
Haya ndiyo mambo yanayotakiwa! lakini nyinyi kila siku mnashinda kwenye Thread za Chadema na ccm tu.
Swali -: makao makuu ya chama hiki yako wapi?
 
Cdm wazee WA kubwabwaja unadhani nini kitatokea hasa ukizingatia mnamiliki baadhi ya vyombo vya habari? Kwa hili mmefanikiwa.......lazima publicity iwe juu......mtamkwe hili halina mjadala but ADC iko njiani inakua tena kwa kasi kubwa. Magamba ofcoz adui wa umma.....mafisadi kifupi sifa chafu nyingi zimewazonga wao hili nalo halina mjadala but Soon utajua mziki WA ADC. Subiri usajili WA kudumu hatubipu sisi.
Note: it's an alert.
 
Sawa all the best mkuu. Lakini jujajibu swali langu....makao makuu ya ofisi ya ADC yako wapi?
 
Ivi haujasikia kama wale ngangari ,watasababisha tetemeko la ardhi hapo Jangwani tarehe 15 mwezi huu wa Julai ,nasikia wanasema atakaewaekea kiwingu atajuta kuzaliwa ,hawa hawana mchezo ,polisi wanawaelewa vilivyo ,maana kilichowakuta polisi kule kwenye base ya CUF Pemba ,imebaki kuwa siri ya polisi ,siku hizi kule pemba polisi huwa wanaenda na vifaru na silaha za kutungulua ndege kwenye mikutano ya CUF.
 
Sawa all the best mkuu. Lakini jujajibu swali langu....makao makuu ya ofisi ya ADC yako wapi?
Buguruni Maeneo ya Rozana near tiGO & Exim bank offices.....ukifika maeneo hayo tafuta hata kipofu anaweza kukuonyesha ofisi zetu. Karibu ADC.
 
Back
Top Bottom