Adam malima kupewa unaibu waziri kwa sababu zipi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu naomba mnisamehe sana kwenye hili,
sina imani kabisa na huyu jamaa Adamu malima,leo asubuhi nilifungua TBC nilipomwona anaongea nilipata mashaka mengi sana,hivi kweli alipewa unaibu waziri kwa vigezo vipi?uwezo wake ukoje?je elimu yake ikoje?kama ndio viongozi tunaotegemea watutoe hapa tulipo huyu ataweza?hivi kabla hawajapewa hizi kazi kuna interview yoyote ile kuonyesha uwezo wa mtu?nina mashaka mno!
 
AdamMalima.jpg ...kigezo kimoja wapo ni umakini wake wa kuvaa ma-pete makubwa vidoleni.kuna wakati anavaa zaidi ya moja.:A S-coffee:
 
Wakuu naomba mnisamehe sana kwenye hili,
sina imani kabisa na huyu jamaa Adamu malima,leo asubuhi nilifungua TBC nilipomwona anaongea nilipata mashaka mengi sana,hivi kweli alipewa unaibu waziri kwa vigezo vipi?uwezo wake ukoje?je elimu yake ikoje?kama ndio viongozi tunaotegemea watutoe hapa tulipo huyu ataweza?hivi kabla hawajapewa hizi kazi kuna interview yoyote ile kuonyesha uwezo wa mtu?nina mashaka mno!

Post imekaa kishabiki,kiwivuwivu, kibinafsi.
 
Wakuu naomba mnisamehe sana kwenye hili,
sina imani kabisa na huyu jamaa Adamu malima,leo asubuhi nilifungua TBC nilipomwona anaongea nilipata mashaka mengi sana,hivi kweli alipewa unaibu waziri kwa vigezo vipi?uwezo wake ukoje?je elimu yake ikoje?kama ndio viongozi tunaotegemea watutoe hapa tulipo huyu ataweza?hivi kabla hawajapewa hizi kazi kuna interview yoyote ile kuonyesha uwezo wa mtu?nina mashaka mno!
ana elimu ya kutosha tu...ila kuwa na good academic credentials haimaanishi ndiyo lazima utakuwa kiongozi bora...tumeona mifano mingi hai hapa Tanzania.
 
Kwa suala la elimu sina mashaka nao maana ni msomi kwa viwango vya kitz ila unaibu waziri alipewa kama asante maana baba yake ndiye aliyesaidia jk kuingia kwenye nyadhifa za juu kwenye serikali ya mwinyi.
 
Kuna siku alikuwa anacheza mpira na timu ya wabunge. Mimi nilipita kupata chakula pale Chalinze Kobil. babu mmoja akashangaa kweli akijiuliza...huyu kijana ameacha ile tabia yake...sijui ni tabia gani. Just out of curiosity...huyu mkuu alisoma sekondari gani kabla ya kwenda Cuba?
 
Kwani hao wengine waliopewa vimetumika vigezo gani?

Mimi nimemsikiliza leo asubuhi kwenye ITV na sikuona kwamba ameongea hicho kilichokushangaza wewe. Ni kweli naona imekaa kiwivuwivu
 
Wakuu naomba mnisamehe sana kwenye hili,
sina imani kabisa na huyu jamaa Adamu malima,leo asubuhi nilifungua TBC nilipomwona anaongea nilipata mashaka mengi sana,hivi kweli alipewa unaibu waziri kwa vigezo vipi?uwezo wake ukoje?je elimu yake ikoje?kama ndio viongozi tunaotegemea watutoe hapa tulipo huyu ataweza?hivi kabla hawajapewa hizi kazi kuna interview yoyote ile kuonyesha uwezo wa mtu?nina mashaka mno!

Kwani ni yeye tu basi? Karibia mawaziri wote ni useless kabisa. But then what do you expect, alie wateua nae unamuonaje?
 
View attachment 48688...kigezo kimoja wapo ni umakini wake wa kuvaa ma-pete makubwa vidoleni.kuna wakati anavaa zaidi ya moja.:A S-coffee:

Hili la kuvaa pete ni maisha yake binafsi hakuna anaekatazwa kuvaa pete wa VIPINI puani, mradi havunji sheria ya nchi, na isitoshe wapi wameandika kuwa mbunge au waziri anatakiwa kuvaa pete ngapi , labda kama unaweza kutuonesha kifungu gani, kanuni gani ...utakuwa umetusaidia na sisi wengine.

Wivu utawaua na hizo hila zenu ...
 
....ana mpango wa kuongeza jiko ktk ukoo wenu!!?
 
Post imekaa kiwivuwivu! Thread ilianza kuonyesha kuponda utendaji wake alafu hapo hapo unauliza km ana elim ya kutosha au anauwezo! Km ni sentense basi haiweleki ya aina gani, statement or question!
 
Kwa suala la elimu sina mashaka nao maana ni msomi kwa viwango vya kitz ila unaibu waziri alipewa kama asante maana baba yake ndiye aliyesaidia JK kuingia kwenye nyadhifa za juu kwenye serikali ya mwinyi.
:juggle: Nakubaliana na wewe hapa pana kila kitu dubious lakini zaidi ni kumpooza jinsi walivyoshirikiana na Mwinyi kufreeze assets za Prof Kighoma.
 
Wewe kweli ni kaka kuona!! Jitahidi kuelewa na siyo kishabiki, jamaa kweli mweupe
 
Post imekaa kiwivuwivu! Thread ilianza kuonyesha kuponda utendaji wake alafu hapo hapo unauliza km ana elim ya kutosha au anauwezo! Km ni sentense basi haiweleki ya aina gani, statement or question!

Walewale akona Kaka kuona(Wewe kweli ni kaka kuona!! Jitahidi kuelewa na siyo kishabiki, jamaa kweli mweupe)
 
Back
Top Bottom