Adaiwa kumuua mumewe kwa kumvuta sehemu za siri

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
POLISI mkoani Morogoro, wanamshikilia mwanamke mmoja wa Kijiji cha Mambegwa, Msowelo wilayani Kilosa, kwa tuhuma za kumuua mume kwa kumvuta sehemu za siri.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi mkoani humu, Thobias Andengenye, alisema tukio hilo lilitokea usiku wa Agosti 17 mwaka huu, katika kijiji cha Mambegwa.

Kamanda huyo alimtaja mwanaume aliyeuawa kuwa ni, Masanja Kakoro (40) na kwamba kuuawa kwake, kunafuatia ugomvi uliozuka wakati wakiwa wamelala.
Kamanda huyo alisema hata hivyo chanzo cha ugomvi huo, hakijafahamika na kwamba mtuhumiwa anahojiwa zaidi na polisi na kabla ya kumfikisha mahakamani.
Source;http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=14025
 
Dah huyu mwanamke kiboko akaamua kuvuta mkonga tu kumkoa mzee naona mzee alishindwa nae kuvuta mewata angevuta mewata ngoma ingekuwa droo.
 
mkwe,
huyo jamaa alikua mzima kweli, au alikua amelewa? maaana nnavyo fahamu mkonga ulivyokua na mizizi sidhani kama utang'oka kirahisi!
 
Wanandoa wanahitaji maombezi kwani inaonekana watu wanaoana kwa kutimiza sheria tuu na si kupendana.
 
Duh kisa ni nini?

Hehehe MJ1 nahisi mama alikuwa anataka kumegwa jamaa akawa amechoka hataki sasa katika harakati za kuusimamisha mchi ndo kukawa na kukulu kakala bahati mbaya mche ukang'oka.

huyo jamaa alikua mzima kweli, au alikua amelewa? maaana nnavyo fahamu mkonga ulivyokua na mizizi sidhani kama utang'oka kirahisi!

Yeah naona jamaa alirudi tungi kidogo sasa mama akawa anataka haki yake ya msingi mzee anabana si yupo tungi ndo hivyo tena mambo yakaharibika katika harakati za kutaka kulazimisha mkonga usimame kinguvu.
 
Naamini hakuung'oa mkonga. Unajua mkonga huwa ni very sensitive, jaribu siku mtu akudunge ngumi hapo tuu ndipo utaona nyota!!! Ni kama sehemu ya moyo kwa mwanaume, kama ilivyo ziwa kwa mwanamke!! Ukimtwanga ngumi ziwa mwanamke anaweza kupata maumivu ya uchizi kabisa. Ndiyo maumbile alivyoweka Mungu!!
 
Hehehe MJ1 nahisi mama alikuwa anataka kumegwa jamaa akawa amechoka hataki sasa katika harakati za kuusimamisha mchi ndo kukawa na kukulu kakala bahati mbaya mche ukang'oka.

Yeah naona jamaa alirudi tungi kidogo sasa mama akawa anataka haki yake ya msingi mzee anabana si yupo tungi ndo hivyo tena mambo yakaharibika katika harakati za kutaka kulazimisha mkonga usimame kinguvu.

hebu ngoja nikaisome hiyo habari vizuri... kung'oka sio mchezo luv.
 
Fidel kama chanzo ni hicho mama si angehangaika na gia akashughulika nayo hadi ikakubali kisha ajisevie au isingekubali?
 
Unajua luv kung'oka sio lazima aliondoka nayo la hasha aling'oa mizizi ndo maana mzee akafaint jumla akashindwa kuamka maana mama alikuwa anataka haki yake ya msingi na ya kikatiba.

Yeah nyie si iwa mnasema wanaume ndo wanawabaka wanawake lakini hii sasa tofauti mwanamke anambaka mwanaume kwa nini ang'ang'anie mkonga hakuona sehemu zingine? Lakini naona huyu mwanamke alivuta na kengele laiti kama angevuta mkonga peke yake jamaa asingefariki lakini ukigusa kwenye kengere lazima uimbe.
 
Fidel kama chanzo ni hicho mama si angehangaika na gia akashughulika nayo hadi ikakubali kisha ajisevie au isingekubali?

wala acngetumia purukushani yoyote, angemwacha mzee apumzike kidogo, baada ya muda angeanza kumfanyia manjonjo, mbona ukichachuka ndio unapata munkari wa haja? yani kama kumsukuma mlevi..
 
angeanza kumfanyia manjonjo, mbona ukichachuka ndio unapata munkari wa haja? yani kama kumsukuma mlevi..

Hahahaha luv lakini kama umechoka na unafanyiwa manjonjo hivyo inakera sana sasa ndo hivyo utafanyaje ndo maana mama akaamua kuuvuta pamoja na kengele.
 
Sometimes unaona bora vingekuwaga vya kupachika ukirudi chicha talalilaa mamaa akihitaji anakipachua anakipachika chini, ukutani n.k anaendelea :cool:

(simo)
 
Hahahaha kwa nini unakimbia kivuli chako?
Kwangu mimi nikipata kifaa kama ndo hivyo nimechoka mimi namwachia mkonga ajishughulishe mwenyewe mpaka atakapo ridhika.
 
..Tena ingesaida sana hata kupunguza tatizo la ukosefu uaminifu

Asubuhi tukitoka kwenda ofisini wote tunapachua tunafungia kabatini, wewe draw yako na ufunguo unanipa mie naenda nao ofcn na mie draw yangu nakupa ufunguo ah!! mkirudi jioni mwapachika .........maisha yanaendelea
 
Hahahaha luv lakini kama umechoka na unafanyiwa manjonjo hivyo inakera sana sasa ndo hivyo utafanyaje ndo maana mama akaamua kuuvuta pamoja na kengele.

kwenye kuchoka ni kweli, hata mie cpendagi kusumbuliwa kama nimechoka, lakini kwenye kinywaji tena mkute mmechachuka wote hiyo ni kupeana muda tu kinywaji kipoe kichwani then mwendo mdundo...labda huyu mama alihic jamaa katoka kwenye rafu halafu kwangu chakula cha shida, akafanya aliyofanya!...hata hivyo kwani ni kila unapotaka lazima upate? kuna visababu vinaweza sababisha ucpate...mama hakutumia busara.
 
Sometimes unaona bora vingekuwaga vya kupachika ukirudi chicha talalilaa mamaa akihitaji anakipachua anakipachika chini, ukutani n.k anaendelea :cool:

(simo)

haahaaa MJ1 umenifurahisha sana leo, looo nitaianza w/end vizuri......umeenda mbaliiiii kimawazo....lol
 
Unajua luv kung'oka sio lazima aliondoka nayo la hasha aling'oa mizizi ndo maana mzee akafaint jumla akashindwa kuamka maana mama alikuwa anataka haki yake ya msingi na ya kikatiba.

au inawezekana alibinya kwa nguvu zile ndude mbili!, lazima azimie au kudedi kabisa aumivu yake sio mchezo, hata magerezani kama Guantanamo Bay wanabinyaga zile ndude na pliers, weeeee lazima useme tu ulilipua mabomu au ulihusika na ugaidi hata kama Osama humjui!.
 
akafanya aliyofanya!...hata hivyo kwani ni kila unapotaka lazima upate? kuna visababu vinaweza sababisha ucpate...mama hakutumia busara.

Hehehe wengine wanachoka full kipupwe yaani masika mpaka masika kwa hiyo bila kulazimisha hupewi haki yako ya msingi lakini mimi naona ni bora yule anaye kuwa muwazi kuwa njaa inauma mzee hunitendei haki kama mzee ana safiri safiri sana anapunguza na kama analewa lewa ovyo ovyo anapunguza ili ampe wife haki yake nyumbani lakini wanawake wengi asipo anza mwanaume basi nae kimyaaaaaaaa anaanza kuugulia moyoni next anatoka nje ya ndoa baadae UKIMWI ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom