Ada ya mtihani wa form four imerudishwa nisaidieni me sijuii

Karibu JF, sasa jifunze uandishi na sahau hulka za FB.
By the way umewahi kusikia taasisi iitwayo NECTA?
 
ni kweli .... Tsh 35,000 mpaka tarehe 28.ukichelewa faini 50,000
 
hiyo ada ya pound wengi wanashdwa kuilipa ngojea tusikie shule za kata itakuwa ni mtafutano tena 35sauzand fain fifty sauzand .mh lawama iz kwa baba mwanahasha
 
Back
Top Bottom