Ada ya masters degree ukraine na russia

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
 
Tafadhali naomba sana kama una ndoto ya kwenda Russia naomba uharishe tofauti na hapo utajikuta umekwisha kuwa ubwabwa sababu ya life ilivyobana..kama unataka just inbox me nikupe info.zaidi
 
Ni kweli inabidi ujipange hasa kuishi Russia pia ujue karate!!! kuna ubaguzi wa hali ya juu kwa watu weusi!!!
 
Mkuu russia co nchi nzuri kwa kuishi,hasa wewe mwenye ngozi nyeusi.
 
Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
mkuu maeneo ya huku Russia ada za masters zinatofautiana kulingana na kozi unayotaka kusoma,wewe kozi gani ulitaka kusoma ili nikupe gharama halisi?
 
hvi hadi unaingia hapa jf kwanni hujagoogle vyuo vya russia na ukraine ili upate uhakika zaidi?hbu acha kusumbua watu jihangaishe
 
Back
Top Bottom