Ada uanachama wa un, eac, na sadc.

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Ndugu zangu hivi ili nchi iwe mwanachama wa un, eac, sadc uwa inatozwa ada ya uanachama? Na je ni kiasi gani kwa anayejua tafadhari.
 
Watafika sasa hivi...watupe vitu,,,alafu kipindi cha Gadafi kuna nchi zilikua zinalipiwa ada ya uanachama AU
'vox populi, vox dei"
 
Back
Top Bottom