Ad hoc cabinet meeting tommorrow morning

Status
Not open for further replies.

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,671
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in Tanzania main land an Zanzibar.

My informer told me some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.

nitwapa muhutasari kesho.
 
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa
 
Kama wameshagawanyika unategemea maamuzi gani wakati serikali imeruhusu redio imaani, waislamu kusali kwakutumia biblia wakati wao nahisi wakisikia wakristo wanaendesha ibada kwakutumia quran sijui itakuwaje.

Wawejibisheni wote si askari tu bali wakuu wa idara mbalimbali waliokuwa wakiruhusu mihadhara ya kichochezi mahala pasipohusu hayo tena mbaya zaidi mihadhara hiyo imehudhuriwa na kuchagizwa na hoja za wanaoitwa wahadhiri
 
Mkuu Kashorobana,naomba saida kuelimisha waumini wenzako mfano leo katika nyumba ninayoishi alikuja muumini mmoja wa kiislamu akawa anawaambia waumini wenzake kwamba wakija watu wa kukusanya maoni ya katiba wazungumze mambo yafuatayo:
UWAKILISHI WA VIONGOZI WA DINI BUNGENI UWEPO
SHERIA YA UGAIDI IFUTWE
SERIKALI IRUHUSU MAHAKAMA YA KADHI

Na muumini mmoja kwa jazba akasema nanukuu "Tutawapa taarifa Al Shabaab waje Kama ponda asipoachiwa"
Mimi ninaishi Temeke,sasa hebu angalia hii mitazamo ina manufaa gani kwa TAIFA?
 
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa

wewe ni muislam wa kweli!
 
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa
Mkuu wewe mi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar nini? Kwa jinsi mambo yanavyoenda sasa naona kama mmebaki wachache sana wenye busara kama wewe. Mkuu nakuombea sana kwa Mungu uendelee na hekima hii uliyonayo na Mungu atakulipa sawa sawa na matendo yako. Na kwa hii busara yako nazidi kuamini kwamba kumbe tukio lile na matukio mengine yanafanywa na wahuni kwa kivuli cjha Uislam
 
​as for the information received from the reliable sources within the state house, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in tanzania main land an zanzibar.

My informer told me some of the cabinet members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.

Nitwapa muhutasari kesho.

it takes two to quarrel
 
Kama watakubali kuambizana ukweli(kupeana makavu) juu ya waasisi (JK na viongozi wengine wa juu ccm) basi kutoka hapo ndo wataona solution.otherwise itakuwa kuzunguka mbuyu tu. Thanks kwa taarifa
 
Asante Mkuu JK amerudi?coz Pinda anakula bata Uk. Tunasubiri hizo updates kesho
 
​....some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn
Ukisema "some are divided," ina maana kuna wengine wanakubaliana, which begs the question, hao ambao hawako divided wao wanakubaliana nini?

Na ukisema "as most of them condemn" ina maana kuna wachache wana support utawala, hawakubaliani na wenzao, which means they are all divided! hahahahaaa....

Watanzania tunapata tabu sana kwenye mawasiliano, kitu kinachofanya hata ulichokisema kuonekana hakina credibility, cha uongo.

...As for the information received

...from the reliable sources

....to curb its recently impact.
Duuu... bwana PhD in Houston Texas, ulichokiandika hapo juu kimevunjika vunjika!
 
Hii ndio broken news mkuu, umebutua kinoma

BACK TO TOPIC: I DONT EXPECT ANYTHING FROM THE MEETING ZAIDI YA VITUMBUA NA VIBUA KULIWA BASI... NA TUMILIONI TUNANE KUANDIKWA KWENYE EXPENSES REPORT
 
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa[/QUOTElazima leo kanisa likulipe firauni mmoja...muislamu unamjua kila post mimi muislamu acha unafiki wako kanisa **** mmoja wewe

sijafurahishwa na reaction ya waislam katika issue ya mbagala kama vilivyo kwa vikundi vingine vinavyotumika kuleta machafuko, TUTAJUTIA SOON!
 
majina mengine bwana, hadi raha...

Yananikumbusha kwetu Kigoma..., eti Kashorobana, Rutashoborwa, Kashaijabutege, n.k. raha sana!
 
Unfortunately I dont expect anything concrete from this government.

there you are! hakuna hata mtu mmoja anae tegemea chochote cha maana kutoka kwa serikali inayo ongozwa na mtu anae dhani ni upepo tu unapita.akija kubaini ukweli nchi itakuwa tayari imeingia shimoni.
 
It is too late to act on this long standing UDINI. It is high time we must face the consequence first before getting into a permanent solution. Kikwete regime brought about and up this subject and let ccm and all its followers pay the price at the expense of innocent Tanzanians.
 
Mimi nadhani ni udhaifu tu wa JK na waziri mkuu (ambaye yupoyupo tu). Mwinyi na Mrema enzi zao waliifuta Balukta (ya Sheikh Yahya Hussein) na kumnyamazisha Ponda na mambo yakawa shwari.
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom