AD & Friends..

Ila hakutoa darasa
hope mwaka huu atatuweka kwenye program zake

afu tutaenda jupiter na hilo dude lako

Thanks for the Best wishes of the NEW YEAR!

BTW: As usual Loves so much your graphics and the exploding fire works!(remember the promise?)

With that said?

ME: Wish You The Best Ever!, ... Year 2012!
 
Hahahahaha!! Mkuu sikuweza kuvumilia kwa kweli maana kila saa mate yalikuwa yananitoka kwahiyo nakula portion kidogo kidogo hadi ameisha....leo nitakuwekea mwingine tena..lol

Hapo hakuna ujanja labda umchinje mwingine
 
Mkuu nyie bado hamjaanza kusherekea
Mkuu, huku tumeanza tangu 24/12 na bado tunaendelea hadi 06-01-2012 ambayo ndio siku ya Watoto kupewa zawadi (sawa na Siku ya Masumbwi - lol- Boxing Day kwa tamaduni nyengine. Lakini leo kwa sisi Wazee asiye mwana aeleke chupa ya Whisky.

th_drunkard-IV.gif

th_Drunkard-V.jpg

th_Drunkard-1.jpg
 
Back
Top Bottom