Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,635
- 7,918
Mzee upo? pole na ban bwana!!!..Inalipa sana kwenye mifuko ya jamii hasa PPF, NSSF, GEPF , PSPF na mingine mingi.
TMK vipi wazima?
Mzee upo? pole na ban bwana!!!..Inalipa sana kwenye mifuko ya jamii hasa PPF, NSSF, GEPF , PSPF na mingine mingi.
Mzee upo? pole na ban bwana!!!..
TMK vipi wazima?
combination yeyote mtu anaweza fanya ,maana kuna watu nawajua walisoma arts subject wa opt risk managementUkiwa umesoma PCM au EGM utaisoma vizuri sana.