acturial sciance

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
jaman wana jf,nauliza hvi hii program ya actuaria sciance kwa hapa bongo market yake imekaaje?
 
Ni taaluma nzuri hapa bongo wapo wachace sana na wapo bima na kwenye mabenki ,uzuri wake ni kuwa unaweza pata kazi popote hata Kenya ambako watanzania tunaogopa kupata ajira ,hapa bongo nawafahamu mabwana wawili ambao wamesoma hiyo course na kufanya kazi kwa umahiri mkubwa na wote walikuwa NIC nao ni Mr David Mattaka ambaye alienda PPF na badaye ATCL na mwingine ni Mr Mwakalobo sijui kama bado yupo NIC,hao wanaweza kukushauri vizuri
 
nashukuru kwa maelezo yako ndugu mfianchi.
 
Ni kozi bomba sana hiyo, ina wataalam wachache sana sio tu tz hata duniani kwa ujumla hata vyuo vinavyofundisha ni vichache sana africa na duniani kwa ujumla na ni expensive to study.
 
vp kuhusu qualifications za kuisoma,m2 unahtajka kuwa umesoma atleast combination gan kwa hapa tz?
 
Did you mean Actuarial science?

Your caption is kinda abash and addling!

Honestly I thought it was a ...new discpline I didnt know...

So I had to google..

and there it was....

What Does Actuarial Science Mean?
A discipline that assesses financial risks in the insurance and finance fields using mathematical and statistical methods. Actuarial science applies the mathematics of probability and statistics to define, analyze and solve the financial implications of uncertain future events. Traditional actuarial science largely revolves around the analysis of mortality and the production of life tables, and the application of compound interest.

jaman wana jf,nauliza hvi hii program ya actuaria sciance kwa hapa bongo market yake imekaaje?

Market in kubwa sana na kama unaweza pata nafasi ya kusoma hiyo ni bora uisome..maana kuna siku nilikuwa naongea na Mjumbe wa bodi ya PSPF ...akasema waliwahi tafuta mtu wa kumuajiri kwa kazi hiyo ila walikosa..na mahitaji yanaongezeka kwa kasi na watu ni kama hakuna.
Ila naamini baada ya UDSM kuanza kufundisha kozi hiyo idadi ya wataalamu wataongezeka.
Ukifanikiwa na kupiga na CERTIFICATION zake hapo ndo utakuwa safi zaidi.
 
jaman wana jf,nauliza hvi hii program ya actuaria sciance kwa hapa bongo market yake imekaaje?

kama unataka kwenda kusomea nenda hapa bongo hapana..David mattaka alikwenda kusomea hii lakini sina uhakika kama alifanikiwa..ninavojua alimlizia kupata degree ya mathematics only.
nenda tu kasome..ila hii ni 5 years...na master yake ni miaka 2 mengine..ndio maana watu hapa kwetu wanaipiga chenga..
makampuni yetu ya banki na bima hawana ...najua wengi wanalipa huduma hii kwa wataalam wa nje..sana kutoka South africa na Kenya..tunalipa consultations.
kulikuwa na jitihada ya kutaka kuanzisha hii kati ya UDSM na makampuni ya bima tanzania lakini sijui imeishia wapi
niliwahi kuhudhuria mkutano wa africa insurance association conference ulifanyika pale Ubungo plaza..palm
yakuja makampuni mengi kutoka kenya, uganda , misri, algeria, tunisia, rwanda, kwa ufupi karibu nchi 50 za africa ziliwakilishwa na maofisa wao yaani CEO...NA unajua nini kilininyongonyesha?
haya makampuni yote kutoka nje...mfano kenya zaidi ya makampuni 20 yalihudhuria..unajua hawa CEO wao wte ni wakenya ..hata kama kuna wahindi ama msomali lakini ni wakenya woote bwana
ugaanda ni hiivo hivo
nigeria yalukuja makampuni kwa makumi..CEO wote ni wa nigeria...
yaani kwa ufupi nchi zote makampuni yao yanaongozwa na raia wao..hata kama kampuni zile kuna hisa za wageni..
sasa nikataka kujua hapa kwetu mambo yapo vip ? nilipatwa MALARIA KAMA YA BUSH..
KATIKA KAMPUNI ZAIDI YA 20 ZA BIMA BONGO UKIWACHA NIC TANZANIA LTD NA ZANZIBAR INSURANCE AMBAZO NI ZA SERIKALI BASI CEO..WOTE CEO WOTE NI WADOZI WAGENI..WA NJE...HAPA NIKAPATA MSHTUKO...NIKAGUNA..NIKASEMA MHH KWELI HATUSOMI KWENYE FIELD HII?/??? KWELI KUNA TATIZO KATIKA SHERIA ZETU ZA UWEKEZAJI..
NA HAKIKA PALE MKUTANONI ILIKUA AJABU MAANA KILA MWAKILISHI ALIKUA ANAWAKILISHA KAMPUNI YAKE NA PIA MASLAHI YA NCHI YAKE SASA NIKASEMA MHH HAWA MA-CEO MADOSI KWELI WATAKUWA WANATUTUTEA SISI KATIKA MAAZIMIO YOYOTE YATAYO PITISHWA?
SASA KIJANA KASOME LABDA HATUNA WASOMI HAPA
 
Mkuu, actuarial science degree ni 3 yrs na sio 5yrs kama architecture!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom