Habari wakuu, samahani naomba msaada kwa mtu anayejua namna ya ku-activate evaluation copy ya windows8 kwani ina-expire baada ya siku 90, hivyo nahofu material yangu yote yatapotea, naomba msaada wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.