Activation key for window 7

..FANYA HIVI:

  • Bonyeza start, then type cmd ... ikionekana Right Click alafu chagua Run as Administrator
  • Ikifunguka type maneno haya slmgr –rearm alafu bonyeza enter
  • Ipe muda kidogo ikimaliza exit command prompt

Baada ya hapo restart computer utakuwa umemaliza tatizo lako & ile msg ya "windows not genuine" itaondoka

N.B:

Baada ya maneno slmgr kuna space alafu (-rearm) ni neno moja
Ikikataa mara ya kwanza unaweza ukarudia tena ku-type slmgr - rearm

Iko kwenye link ya Never give up iliyoonyeshwa hapo juu
 
mkuu yangu ni window 7 ultimate inagoma
 
mkuu yangu ni window 7 ultimate inagoma

Kama utahangaika ukakosa kabisa namna ya kuirekebisha njoo home nikupe ya kwangu, Windows 7 Ultimate NO SERIAL NEEDED, ninaitumia mwezi wa pili sasa bila ya matatizo na inajiUpdate automatically bila ya shida yoyote na natumia Kaspersky Internet Security 2012 full updated (NO VIRUSES). Gharama nauli yako tu. Au kama unaBundle ya kutosha iDownload hii then uiBurn kwenye DVD Disc uitumie haina matatizo yoyote cause mimi ndo ninayoitumia na ina versions zote za Windows 7 unachofanya wewe ni kuchagua ni ipi unaitaka wakati wa installation (Starter, Home basic, Home premium, Professional, Enterprise or Ultimate 32/64-bit). Windows.7.ULTIMATE.SP1.ALL.EDITIONS.32-64.bit-MAFIAA (download torrent) - TPB
 
..FANYA HIVI:

  • Bonyeza start, then type cmd ... ikionekana Right Click alafu chagua Run as Administrator
  • Ikifunguka type maneno haya slmgr –rearm alafu bonyeza enter
  • Ipe muda kidogo ikimaliza exit command prompt

Baada ya hapo restart computer utakuwa umemaliza tatizo lako & ile msg ya "windows not genuine" itaondoka

N.B:

Baada ya maneno slmgr kuna space alafu (-rearm) ni neno moja
Ikikataa mara ya kwanza unaweza ukarudia tena ku-type slmgr - rearm

Iko kwenye link ya Never give up iliyoonyeshwa hapo juu

mkuu shukrani xana imekubal yangu dah...lakn sasa apa natakiwa ni activate na nimepewa tena siku 30 inataka niingize product key vp apo unaweza kunisaidia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom