Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Jul 31, 2012 #2 Boflo unataka kichwa chako kipewe thamani ya US$ 25 milion kwa yoyote atakayekiona. Chezea Marekani na British wewe?
Boflo unataka kichwa chako kipewe thamani ya US$ 25 milion kwa yoyote atakayekiona. Chezea Marekani na British wewe?
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Jul 31, 2012 Thread starter #4 Ndahani said: Boflo unataka kichwa chako kipewe thamani ya US$ 25 milion kwa yoyote atakayekiona. Chezea Marekani na British wewe? Click to expand... tehe tehe.......hio kitu ni real
Ndahani said: Boflo unataka kichwa chako kipewe thamani ya US$ 25 milion kwa yoyote atakayekiona. Chezea Marekani na British wewe? Click to expand... tehe tehe.......hio kitu ni real
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jul 31, 2012 #6 Boflo said: View attachment 60367 ............ Click to expand... Hii kitu ilikuwa tumboni? Ewolololololol. Mbona umeondoa picha ya Obama bana?
Boflo said: View attachment 60367 ............ Click to expand... Hii kitu ilikuwa tumboni? Ewolololololol. Mbona umeondoa picha ya Obama bana?
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Aug 1, 2012 #7 huyo jamaa angefaa awe mashine ya zege maana akilichanganya tumboni akilimwaga jamvi mapema mnachukua mkwanja mnasepa.huo mzigo sio wa kitoto.
huyo jamaa angefaa awe mashine ya zege maana akilichanganya tumboni akilimwaga jamvi mapema mnachukua mkwanja mnasepa.huo mzigo sio wa kitoto.
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Aug 1, 2012 Thread starter #8 philipo kidwanga said: huyo jamaa angefaa awe mashine ya zege maana akilichanganya tumboni akilimwaga jamvi mapema mnachukua mkwanja mnasepa.huo mzigo sio wa kitoto. Click to expand... nimecheka kama mwehu fresh
philipo kidwanga said: huyo jamaa angefaa awe mashine ya zege maana akilichanganya tumboni akilimwaga jamvi mapema mnachukua mkwanja mnasepa.huo mzigo sio wa kitoto. Click to expand... nimecheka kama mwehu fresh
kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Aug 2, 2012 #9 the whole is greater than sum of its parts,since the theory applies then it is a true action