ACT-Wazalendo yamtaka Rais Maufuli kuingilia mkwamo wa Zenji

Endeleeni kula wakati wengine wamesusia. Lakini mle mkijua kuwa mnakula kijinga cha moto!
 
Na hili ndio litamfanya magufuli aonekane hana tofauti na watawala wenzake waliotangulia wao ni chama kwanza nchi baadae, na kwa ulafi wao wa madaraka eti fyoko fyoko loh.
Hayo matusi yamewaumiza Wanzazibari kweli kweli.
 
Hayo matusi yamewaumiza Wanzazibari kweli kweli.
Lazima liume mkuu, mtu huwezi kuambiwa maamuzi yako mtu mzima above 18 yrs ni fyokofyoko, tena unaambiwa ulimwengu mzima uje. Ndio maana watu huwa wana amua kujilipua tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom