Acid!!

we tumia hata gas kushtua kwani nini bana wikend inaweza simama yakhe

ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweli

huwa nina vivespa viwili leo vyote vimegoma kuwaka, sijui ntamalizaje wikendi aisee
 
ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweli

huwa nina vivespa viwili leo vyote vimegoma kuwaka, sijui ntamalizaje wikendi aisee

Hahahahaha Vespa zote zimegoma kuwaka itabidi uchukue TOYO
 
@chauro... kesi imeisha, ila ndo tunaokota mafaili na kuyafungia kwenye sefu... JS has understood me crystal clear and NN has taken over were he started last time
 
afadhali bana upumzike si unajua kesi zisizoisha zinavokuwa unaweza ishia na viduara mtoto usoni
 
afadhali bana upumzike si unajua kesi zisizoisha zinavokuwa unaweza ishia na viduara mtoto usoni
Ya Mramba na Yona inaendelea mkuu... nashukuru hekima za NN na Kaizer wamemtuliza JS wetu
 
Pole lakini kaka Acid...nimeshindwa kuvumilia mdogo wako.....hehehehe hebu kanijibu ile PM yangu basi

Sasa mkulu, ngoja jioni "jopo" likae na wewe manake hii ni very serious...The finest hatakuwepo ila wengine wote wakulu wa hapa...Asprin, Teamo, MJ1, GY, Kimey, st RR na wakubwa wengine tutakaa tujadili hili tukupe na mbinu mbadala za kuovercome hii

halafu katiba ya ISC itabidi tukupe hard copy, maana kusoma soft copy unaoverlook. vyengine,,

NN atashiriki huu mkutano via Video conference,,,,,ial itabidi atangaze kabisa kama kuna conflict of interest

hi ni balah aisee on this very friday!

Ok....hapa kidogo nimepoteza....:confused2:
Kwani infidelity ina-apply kwa kaka na dada pia.....? :shock::shock::shock:
 
Back
Top Bottom