Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

haya Mwenyekiti wa Tume tumekupata lakini nahisi tunahitaji mabadiliko ya Tume next year,

LOL Mkuu Makamisaa wapya wanakaribishwa. Niko tayari Kustaafu kama ikibidi.

Walau siko kama Kivuitu aau Makame.
 
Sasa, Acid kwanza HONGERA MKUU WANGU.
Lakini nategemea utaje lokesheni tutakapokutana ili kuiangamiuza ghafla hiyo 50K!...usiitumie kununua mboga za watoto ndugu yangu watu wameikodolea macho sana!

Haaa haaaaa

Kuna njia mbili za kupata 50K yake. Ani PM tunakubaliana jinsi ya kuchukua kisha anakuja ku-confirm hapa kuwa aliipata. Wasije dhani nimechakachua.

Pili kama anataka naweza kumpatia Maxence kisha akachukua huko na kuja kufanya confirmation Jamvini kuwa amepata.

karibu ACID na NN.
 
Mambo ya Ivory coast washindi wawili sio????
ufisadi kila kona khaaa

MR itake radhi tume. Tumefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu tena kwa kujitolea. Inawapasa muipongeze tume kwa kazi kubwa badala ya kuibeza. Kwii Kwii Kwiih LOL
 
Back
Top Bottom