asante sana mkuu,i ca now see some light at the end of the tunnel
architecture duh!, mwakipesile, lwemayanga, mosha mabangi, loh! jaza architecture mkuu ukakeshe na studio, mwaka wetu tulianza 54 tulimaliza 29 thou wengi walikimbia wenyewe, walio'disco ni watatu tu na wengine kurudia mwaka.
kibongobongo ukiwa kwenu mambo safi basi architecture utaisoma kwa raha zaidi.
yeah, thank you.... am doing building economics now...!!!sikia serio kuhusu soko zote zina soko but kuhusu ipi ni zaidi juhudi zako ndo zitaamua but jua architecture co 2 koz ya mda mrefu but also inahitaji ujuzi ubunifu na mambo mengi kazawakaza so u got 2 b ready 4 wat your up agaist
Architect reccomendend kwangu ujue sekta ya ujenzi bado changa sana kwetu. Ila yataka moyo kidogo miaka mitano chuo siuogope maisha taratibu na ndoto itatimia na utakuwa na uwezo wa kuajiriwa na kujiari mwenyewe
Hii hge anasoma hii building economics....let me go for it
acha kufuata mkumbo,utaumia.building economics ni ngumu sana kwa mtu wa hge,nina rafiki yangu nae alikua na kiherehere kama wewe akaichagua wakati amesoma hge,kilichomtokea ni siri yake,imebidi aahirishe mwaka.