Acheni tabia hii..

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama anaweza????..It's so ashamed.Na wasichana kataeni kuwaita ita boyfnd zenu,pindi wazaz wenu wakisafiri..Mnajiaibisha sana na kujishusha thamani yenu.. Hata kama ndio pesa hana,mwambie muende kwao,kama atakubali..Mbona yeye anaheshimu nyumba ya wazazi wake?..Nimeipata hii kwa jiran yangu hapa,ye wazazi wake wakisafiri tu,boy wake anahamia hapo..Ni aibu kwa kweli..
 
Bado watoto wakikua wataacha cause watakua na kwao..

Mmmmmmh!!! Ujana au jinsia yako inakufanya ushabikie mambo kama haya lakini kiukweli siyo vizuri hata kidogo kwa watoto wa kike kuwaleta maboyfriend zao nyumbani kwao na kujikuta wakifanya upuuzi.
 
Acha wivu, wanalinda nyumba hao!

Siwezi kuona wivu kwa mambo ya kijinga kama haya method.Places are many.but nyumba ya mzazi wako??.Mi naona hata huyo jamaa anaekwenda hapo kwao anamuona msichana ni mjinga.Ni kuishiwa gani huko?.
 
Mmmmmmh!!! Ujana au jinsia yako inakufanya ushabikie mambo kama haya lakini kiukweli siyo vizuri hata kidogo kwa watoto wa kike kuwaleta maboyfriend zao nyumbani kwao na kujikuta wakifanya upuuzi.

Mbaya zaidi ukute kwao yeye mvulana hata kwenda kumsalimia tu hajawahi na hamruhusu.
 
Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama anaweza????..It's so ashamed.Na wasichana kataeni kuwaita ita boyfnd zenu,pindi wazaz wenu wakisafiri..Mnajiaibisha sana na kujishusha thamani yenu.. Hata kama ndio pesa hana,mwambie muende kwao,kama atakubali..Mbona yeye anaheshimu nyumba ya wazazi wake?..Nimeipata hii kwa jiran yangu hapa,ye wazazi wake wakisafiri tu,boy wake anahamia hapo..Ni aibu kwa kweli..

Hao wamekubuhu duh!na hizo bachelor zao,nawasi wasi nazo!.
 
Dunia inafika mwisho, ila kwa kuonyana na kukumbushana, twaweza fika mbali, nakubali hilo ni tatizo na linahitaji kukemewa kwa nguvu zote
 
dah kiukweli cio ustaarabu hata kidogo.hivi mwanaume wa hivyo atakuheshimu kweli?anaweza akawaza pia cku akikuoa yeye akasafiri je hautamwingiza mwanaume mwengine ikiwa kwa wazazi wako hupaheshimu?ifike wakati mabinti ze2 wenye tabia hiyo waache ili wa2jengee heshima wazazi wao.
 
Kwani tatizo ni nini hapo wa kiume akienda na demu kwao nia sawa ila wa kike akipigiwa nyumbani
ni shida "gender equlity itatokea wapi kama hivi ndivyo tunatakiwa kujaji mambo?"
 
u should judge kama mtu mstaarabu.Hamuwezi kufanya nyumba za wazazi wenu uhuni wenu.Kama unaishi mwenyewe sawa,hata kwa msichana..lakini siyo nyumba za wazazi wenu..
 
dah kiukweli cio ustaarabu hata kidogo.hivi mwanaume wa hivyo atakuheshimu kweli?anaweza akawaza pia cku akikuoa yeye akasafiri je hautamwingiza mwanaume mwengine ikiwa kwa wazazi wako hupaheshimu?ifike wakati mabinti ze2 wenye tabia hiyo waache ili wa2jengee heshima wazazi wao.

Atakuheshimu wapi?????kama mzazi wake alie mlea mpaka hapo alipofikia hamuheshimu kwa kuleta boyfriend nyumbani na kumruhusu alale?.Kutembeleana siyo mbaya..lakini kulala hapo hapo..mmh.its amaizing.
 
Back
Top Bottom