Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

Askari Kanzu,

Umewalenga madada wa JF? madada wa JF ni mkorogo na nywele za maiti kwa kwenda mbele, ndio maana hawathubutu kutuonesha picha zao humu, wanajuwa tutawapakia.
 
Sample hizi zinapatikana south sudan, yaani huko akienda mjaruo anagombewa kwa weupe.
 
Back
Top Bottom