Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

Achaneni na mikorogo. Si unaona mwenyewe?

426107_10151320486895403_630245402_23059184_153140394_n.jpg

Mkuu anapatikana wapi huyu mrembo?nimemzimia mbaya huwa watamu sana hawa,ORIGINAL WOMAN.
 
Huyo hata sio mweusi kwani anaonekana, hiyo ina maanisha anaakisi mwanga. Bado hajafikia weusi wa jua, lol (PURE BLACK BODY).
 
Back
Top Bottom