Accountant Anahitajika

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35.

kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa barua pepe mawazo1@hotmail.com au sanduku la barua:
Bulwark Associates Advocates
P.O Box 32032
Dar es Salaam.

Deadline ni tarehe 30.08.2012
 
2 yrs experience?? Mshushe kidogo basi at least one year
Am underqualified
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom