According to dr kimei (ya NSSF)

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Nikiwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2005, alikuja DR KIMEI kwenye Mdaharo wa Banking issues, akaulizwa swali kwamba, ni kwa nini Bank ya CRDB haikuchangamkia pesa ambazo serikali iliziexpose kwa Mabank ili yawakopeshe wakulima wakati it was a cheap money. Kwamba je inamaanisha kwamba CRDB imewatosa wakurima wakati ndio ilikuwa focus wake wakati imeanzishwa? (Mapesa yale yalichangamkiwa na wahindi wa Exim of course)

Kimei akarespond kwa kifupi kwamba, it is very risky dealing with the Government. Akaeleweka.
Back to NSSF. Do not also involve yourself too much with the Government, they have messed up the Power and Enegry infrastracture completely, they had opportunity to sort it out before and they politically messed it up, now they want to throw the dead body to you.

Miradi ya umeme inamatatizo makubwa sana na yote yako kwenye mtandao mmoja, wanasheria wa kitanzania waroho wa fedha wamechakachua mikataba kwenye sekta ya umeme na kutapakaza maradhi kila sehemu, kokote utakakogusa pako deadly sick. hakuna hata mmoja wa kuaminika mambo ya wanasiasa na wanasheria wa kitanzania inabidi kuyafanyia detailed due diligence check up.

Kama NSSF hamjawahi kuwa na mipango ya kuwekeza kwenye sekta ya Umeme during the past three years so far(the least), that is an evidence kwamba you are not interested in this business, Kikwete Mwenyewe kaisha declare kwamba ataondoka madarakani hajatatua tatizo lolote, hivyo na nyie kuweni waungwana kama yeye, Msijekujidanganya kujiingiza kwenye hili gonjwa mkidhani kwamba jamii itawasifu kwamba you are doing a good job.Achaneni na hili kasa, waambieni wakina ZITTO wawape space mfikirie,

Yeyote atakayekuja kwenu kupresent hii issue, awe ZITTO au nani sijui,kitu cha kwanza kabla hawajafungua domo kaya zao, mpresent strategic plan yenu, inayoonyesha vipaumbele nyenu, muwaeleze na matatizo mliyo nayo ambayo nanyi mnahitaji msaada. muwaeleze jinsi mnavyoumiza vichwa pale mnapogundua kwamba stress testing zinaonyesha kwamba hali yenu ni tete sana kama uchumi wa nchi utaendelea kudumaa na kushindwa kuzalisha kazi for the next ten to twenty years kwani during that time members wenu wengi watakuwa wanapiga kazi chini kutokana na umri na hivyo watataka chao.Muwaonyeshe mlivyokuwa desperate. Midadi itawapungua au itawaishia kabisa.

Najua Guts za kuwaambia kwamba you are not ready to invest in the political projects hamna, sababu mlishaanza tayari kwenye deal nyingine.cha msingi mtumie njia yoyote kuwatuliza hawa jamaa munkari, UMA uko nyuma yenu, wakikomaa waambieni mnaogopa UMA potelea mbali.

Hakuna mtu mwenye evidence kwamba Mgodi wa Kiwira unalipa, Hayo madeni yaliyoshindikana kulipwa ni evidence kwamba the project is not business material, no return. MIRADI YA NAMNA HII NDIO AINA YA MIRADI AMBAYO SERIKALI INATAKIWA KUISIMAMIA, HAINA TOFAUTI NA HOSPITALS, SCHOOLS, KILIMO.
NA BARABARA (By the way where are out taxes going?),Ngereja amesema Serikali imeuchukua, kasema hivyo Bungeni, mambo ya usanii wa ZITTO kwamba ngereja alidanganya ni mwanzo tu wa kuanzisha mchakamchaka wa kukuleteeni Kiwira.Na kama ni kweli kwamba Ngereja alidanya Bunge, Wapambani wa Chadema mkirudi mjengoni mmbane Alaaa Puumbafuuu.

Tulipopiga kelele za Mkapa kuny'anganywa Kiwira (na ikawa hivyo) hatukuwa na hoja kwamba ameshindwa kuwekeza, tulitaka mgodi urudi mikononi mwetu, na kilichotukera ni kwamba ubinafsishaji wa Mgodi uligubikwa na rushwa na wizi, sio poor investment wala inefficient operation ya Mgodi.

Inawezekana ikawa ni vyema mgodi huo ukipewa kwa waendeshaji wengine kama NSSF, lakini hii namna ya kuwapa inatakiwa kuwa displined, sio mwanasiasa mmoja anasimama na kuanzisha show isiyoeleweka, very complicated proposal alafu anataka isijadiliwe.The Pressure is too High (From ZITTO)

ZITTO, you have a good point
NSSF msijiingize kwenye kwenye project za Kisiasa kichwa kichwa, au acheni kabisa.
Kiwira Ipelekwe Mnadani.

NSSF Kama mnapesa hazina kazi bado, mkawekeze kwenye Miundombinu Monduli. we shall Kiss you
 
Is a real innovation arises out of necessity or opportunity?? and do not forget we are still having a problem of bad governance.
In short it is a poor investment.
 
Tutaumiza vichwa isue ni Zitto anatumiwa kuforce Kiwira-NSSF deal... What is going on with this deal? UFISADI. Serious, ZITTO 2015 inamsumbua. na hao mafisadi wenzio umechemshaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom