Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

nyamisedo

Senior Member
Oct 26, 2015
134
17
Tulifanya interview mwezi wa 10 Mbeya tukaambiwa baada ya week mbili naona kimya mpaka sasa je kuna ambao wameshaitwa?? ili nijue kama sikufanikiwa
 
Tulifanya interview mwezi wa 10 Mbeya tukaambiwa baada ya week mbili naona kimya mpaka sasa je kuna ambao wameshaitwa?? ili nijue kama sikufanikiwa

me nliawaditch ivi mlikaa mbeya siku ngapi mkuu??
 
me nliona watanizingua tu maana walintisha na ile msg yao ya kua hawatahusika na chochote afu eti siku 6-10 nkachoka

Tulikomaa hatari kula hoteli juu yetu kwa wale ambao hatukuwa na wenyeji Mbeya
 
me nliawaditch ivi mlikaa mbeya siku ngapi mkuu??

Naona tumetumiwa ujumbe

Tunakushukuru kwa kushiriki usaili uliofanyika Mbeya mnamo mwezi wa Oktoba 2015.Tunaomba radhi kwa kuchelewa kutoa majibu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.Taarifa zaidi tutakujulisha hapo baadae. Accessbank Tanzania.
 
Mkuu tuendelee kusubiri maana hata sisi tuliotumiwa hatujui hatma yetu mpaka sasa yawezekana wanatuma kwa awamu

Ww uliomba nafasi gan mkuu? Mm nliomba agro loan lkn cjapata sms na hata jmaa angu tulioomba pamoja agro hajapata,
Naomba nijue walioomba agro walipata sms ya aina gani? Au sms ni hiyo hiyo kwa wote, naomba nichekie kama unamfaham aliyeomba agro na akapata sms
 
Ngoja nifanye tafiti ntakuja Mimi niliomba loan officer ila hata customer service na marketing wametumiwa ila kuna wengine nao hawajapata hiyo text tuwe wavumilivu tu
 
Naona tumetumiwa ujumbe

Tunakushukuru kwa kushiriki usaili uliofanyika Mbeya mnamo mwezi wa Oktoba 2015.Tunaomba radhi kwa kuchelewa kutoa majibu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.Taarifa zaidi tutakujulisha hapo baadae. Accessbank Tanzania.

duh hatari sana me nlienda kufanya tpb naona mpk sasa kimya week ya pili inataka kukatikasijui kama washaita watu au namna gani
 
Hauna mawasiliano na mliofanya nao??

walinipigia siku ya kunitaarifu interview tu na namba ya tigo sikuisave ila walini email pia kauli yao ya mwisho walisema ukiwa selected watakutatfuta so sikuhangaika kuwachek
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom