Access bank wameanza kupiga simu kwa waliofanya interview, tarehe moja april, mwanza

Aliyewahi kufanya interview access atusaidie maswali yanakuaje wadau

Loan Officer? Kuna interview 3. Ya kwanza ni written, then mnachujwa then mliopita mnaitwa for info session ambapo mnaelezewa kuhusu kampuni history, bussiness, owners, branches, customers n.k. Mnauliza maswali n.k afu kuna group interview and final oral ya individual
 
Written inahusiana na logic questions na mathematics questions. Mfano unaweza kuulizwa utaje 33% ya 60% ya 33. Au ukaulizwa dizain ya maswali yale ya watu 6 wanalima shamba la heka 3 kwa siku 1. Je watu hao watatumia siku ngap kulima shamba la nusu heka?(Huo ni mfano, sidhani kama swali liko sahihi)
 
Asante kaka be blcd
 
Loan Officer? Kuna interview 3. Ya kwanza ni written, then mnachujwa then mliopita mnaitwa for info session ambapo mnaelezewa kuhusu kampuni history, bussiness, owners, branches, customers n.k. Mnauliza maswali n.k afu kuna group interview and final oral ya individual
Inaonekana hiyo bank inalipa vizuri sana. mlolongo wote huo wa interview?
 
Unaanza na trainng miezi 2 na wiki kadhaa kama sijakosea with posho ya 250,000. After unakua chini ya uangalizi miezi kama 6 au 4 unapewa laki 3 na kadhaa. Ukifanikiwa kuwa LO ndo unalipwa laki 4 point something
 
Loan Officer? Kuna interview 3. Ya kwanza ni written, then mnachujwa then mliopita mnaitwa for info session ambapo mnaelezewa kuhusu kampuni history, bussiness, owners, branches, customers n.k. Mnauliza maswali n.k afu kuna group interview and final oral ya individual

u.j.i.n.g.a mlolongo wa interview zote za nini hizo kwa 270000
 
Km ndogo baki unalala nyumbani uone.

Ni ndogo kwa kuiangalia, lakini kuna benefits ambazo zipo, kama kuna transport allowance na ya mawasiliano. Tho ni ndogo. Mpunga wanakuja kupiga kwa wateja. Juzi dada angu kachukua mkopo wa m15, ametoa hela ya nauli ya LO kuangalia biashara na dhamana 50 elfu, Photocopy n sijui mwanasheria 70 elfu, akapata mkopo akawapa laki 1. Zote hizo hazikutakiwa alipe as wanapewa na ofisi lakini kutokana na kutokujua kwake, na kuogopa asipowapa angekosa au kucheleweshewa mkopo.
 
Back
Top Bottom